Twitter Buzz

....

....

...

...

IMETOSHA!

IMETOSHA!

Featured post

KIJANA GOZBERT BWELE ALIVYOMPAGAWISHA MAKAMU WA RAIS WA HISPANIA MJINI NANSIO

Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...

Sunday 13 April 2014

MVUA YAKATA MAWASILIANO YA PWANI NA DAR

NA HII NDIO HALI HALISI KATIKA PICHA
  
 Mto Mpiji ukiwa umefurika maji

 Eneo la daraja ambalo limepata dhoruba


Daraja la Mpiji linalounganisha mkoa wa Pwani na Dar Es Salaam limeharibika kutokana na mvua inayonyesha tangu juzi. Daraja hilo ambalo linaunganisha mtaa wa  Bunju B na kijiji cha Mapinga(Bagamoyo) limesababisha kusimama kwa shughuli za usafiri kutokana na hatari ya kubomoka kabisa endapo litatumiwa. Lakini mpaka tunarusha habari hii viongozi wa kitaifa na mkoa wametembelea ili kuona hali halisi na taratibu za kurekebisha zimeanza.

CHANZO: TASWIRABONGO

No comments:

Post a Comment