Twitter Buzz

....

....

...

...

IMETOSHA!

IMETOSHA!

Featured post

KIJANA GOZBERT BWELE ALIVYOMPAGAWISHA MAKAMU WA RAIS WA HISPANIA MJINI NANSIO

Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...

Sunday 27 April 2014

WAZEE WAKIKUPA, POKEA... NDIYO NIDHAMU

Ndugu zangu,
Ukiwa katika jamii lazima uchangamane na watu wa rika zote. Kwa kazi zetu za kuzunguka vijijini, mara nyingi hatuna budi kukutana na wanajamii katika mazingira mbalimbali. Lakini ukipata fursa ya kukutana na wazee kama hawa, kamwe usikatae kuonya hata ulanzi ambao bado ni 'mtogwa'. Inapendeza sana.
Hapa nilikuwa Image wilayani Kilolo nikiwa naitumikia jamii.

Ndugu yenu,
Daniel Mbega
Iringa, Tanzania

No comments:

Post a Comment