Twitter Buzz

....

....

...

...

IMETOSHA!

IMETOSHA!

Featured post

KIJANA GOZBERT BWELE ALIVYOMPAGAWISHA MAKAMU WA RAIS WA HISPANIA MJINI NANSIO

Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...

Saturday 26 April 2014

WAZIRI MKUU WA MSUMBIJI ATEMBELEA CCM DAR, ALAKIWA NA KATIBU MKUU KINANA

Untitled
 Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM),  akimlaki Waziri Mkuu wa Msumbiji, Alberto Vaquina aliyewasili leo Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba, Dar es Salaam., ambapo walipata wasaa wa kufanya mazungumzo. Katikati ni  Vicente Veroso Balozi wa Msumbiji nchini. PICHA NA KAMANDA WA MATUKIO BLOG.
IMG_6778
Kinana akisalimiana na Balozi wa Msumbiji nchini, Vicente Veroso.
IMG_6788
Kinana akijadiliana jambo na Waziri Mkuu wa Msumbiji, Vaquina.
IMG_6789
Kinana akielekea na mgeni wake ofisini kufanya mazungumzo.
Kinana akiwa na mgeni wake ofisini.
CHANZO, MOBLOG.

No comments:

Post a Comment