Twitter Buzz

....

....

...

...

IMETOSHA!

IMETOSHA!

Featured post

KIJANA GOZBERT BWELE ALIVYOMPAGAWISHA MAKAMU WA RAIS WA HISPANIA MJINI NANSIO

Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...

Friday 31 July 2015

LOWASSA KILA KONA, NEC KUANZA KUTOA FOMU ZA URAIS KESHO JUMAMOSI!



Goodluck Eliona na Pamela Chilongola, Mwananchi
Dar es Salaam.
Tume ya Uchaguzi (Nec) imetangaza kuanzia kesho, Jumamosi, wagombea wa nafasi ya urais wataanza kuchukua fomu za kuwania kiti hicho katika zoezi litakalodumu hadi Agosti 21, mwaka huu.

SHIRIKA LA AFYA DUNIANI LAFURAHIA CHANJO DHIDI YA EBOLA


Shirika la afya duniani WHO, limesifia matokeo ya chanjo mpya ugonjwa wa Ebola, ambayo inatoa asilimia 100% ya kinga baada ya majaribio yake nchini Guinea.

CHAD 'YAWAUA WAPIGANAJI 100' WA BOKO HARAM


Jeshi la Chad linasema kuwa limewauwa zaidi ya wanamgambo 100 wa Boko Haram katika kipindi cha majuma mawili yaliyopita.

HAKUNA CHUO KIKUU HATA KIMOJA CHA TANZANIA KATIKA UBORA AFRIKA

Vyuo vikuu vya Afrika Kusini ndio bora zaidi na maarufu barani Afrika.

VIETNAM, FIFTY YEARS AFTER DEFEATING THE US

 


Jimmy Carter called a war waged in Vietnam by the United States — a war that killed 60,000 Americans and 4,000,000 Vietnamese, without burning down a single U.S. town or forest — “mutual” damage. Ronald Reagan called it a “noble” and “just cause.”

GERMAN GOVERNMENT ACCUSES NEWS WEBSITE OF TREASON OVER LEAKS

Andre Meister

Reuters in Berlin
Friday 31 July 2015 02.32 BST
Germany has opened a treason investigation into a news website a broadcaster said had reported on plans to increase state surveillance of online communications.

MBABAZI KUWANIA URAIS NJE YA NRM UGANDA

Amama Mbabazi
Waziri mkuu wa zamani wa Uganda John Patrick Amama Mbabazi ametangaza kuwa hatawania urais kwa chama tawala NRM katika uchaguzi mkuu mwakani.

MARADONA AMTUHUMU MKEWE KUMWIBIA FEDHA

Diego Armando Maradona
Nguli wa soka duniani, Diego Maradona amemtuhumu mke wake wa zamani Claudia Villafañe kwamba kamuibia kiasi cha fedha zipatazo dola milioni tisa, katika akaunti yake ya benki.

KUCHEZA UCHI KWAMPONZA SHILOLE, BASATA YAMFUNGIA MWAKA MMOJA

Juu ni picha zinazomuonyesha Zuwena Mohammed 'Shilole' akiwa katika matukio mbalimbali huku akiwa ameaacha maungo yake wazi.

NIGERIA YATEUA JENERALI MPYA WA JESHI

Jeneral Iliyasu Isah Abbah
Rais Muhammadu Buhari wa Nigeria

Nigeria imemteua Jenerali mpya kuongoza kikosi cha kimataifa kilichoundwa kwa ajili ya kupamba na kundi la wanamgambo wa Boko Haram.

MAJANGA MENGINE TENA: HIVI NDIVYO VIDONGE VYA KUHARIBU MIMBA VILIVYOHALALISHWA CANADA


Wizara ya afya ya Canada imehalalisha dawa ya kuavya mimba inayofahamika kama RU-486.

MTOTO WA MWAKA MMOJA ACHOMWA MOTO


Mtoto mchanga wa kipalestina ameuawa baada ya nyumba yao kumwagiwa petroli na kuchomwa moto katika makazi ya West Bank.

LIGI KUU ENGLAND KUANZA KUTIMUA VUMBI


Zikiwa zimesalia siku chache kuanza kutimua vumbi kwa michuano ya Ligi kuu ya Uingereza, mabingwa wa ligi hiyo timu ya Chelsea inatarajia kuivaa Arsenal katika mechi ya ufunguzi inayotambulika kama Ngao ya Jamii itakayopigwa siku ya Jumapili katika Uwanja wa Wembley jijini London.

UFARANSA YACHUNGUZA MABAKI YA NDEGE

Kipande cha bawa la ndege kinachodhaniwa kuwa ni ushahidi wa kwanza wa ndege ya Malaysia iliyopotea
Mtu anayedaiwa kubaini ushahidi wa kwanza wa mabaki ya Ndege ya Malysia iliyopotea ameelezea mazingira ya yalipopatikana mabaki hayo,na kwamba yeye alikuwa katika shughuli zake za kawaida katika hoteli moja kwenye ufukwe wa Bahari ya Hindi.

SAVING FOR A BETTER FUTURE



by Krantz Mwantepele 

Financial planning is an essential tool for anyone to get what they want out of life. This tool helps with things such as living within your income, identifying financial priorities, meeting financial emergencies and saving and investing to reach financial goals. All this can be done if you know the value of money in relation to your plans and achievements in life.

GARI LA KUBEBEA MAJENEZA LA KIPEKEE LAINGIA NCHINI

IMG_0469
Pichani juu na chini ni muonekano wa Gari maalum la kukodisha kwa ajili ya shughuli za kubebea majeneza katika misiba limeingia nchini.

MSIMU MPYA WA KANDANDA NDANI YA DSTV KUTIMUA VUMBI WIKI IJAYO

IMG_0388
Meneja Uhusiano wa Kampuni ya Multichoice Tanzania, Barbara Kambogi, akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa utambulisho wa msimu mpya wa kandanda kwa wateja wa DStv jana jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Afisa Masoko wa Multichoice Tanzania, Furaha Samalu na kulia ni Meneja Mwendeshaji wa Multichoice Tanzania, Ronald Baraka Shelukindo.(Picha zote na Zainul Mzige wa modewjiblog).

Thursday 30 July 2015

MIAKA 10 BAADA YA KIFO CHA JOHN GARANG

Sanamu ya kumbukumbu ya John Garang
Leo ni miaka kumi imepita tangu kufariki kwa muanzilishi wa kundi la waasi wa SPLM nchini Sudan, John Garang ambaye aliaga dunia katika ajali ya helikopta.

AGATHON RWASA NAIBU WA SPIKA BURUNDI

Agathon Rwasa achaguliwa Naibu Spika
Hii leo bunge lipya lililochaguliwa nchini Burundi limewateua viongozi wake.

DRUG TRAFFICKING: THE DEADLY ENTERPRISE

Commissioner of Police Chelimo Beata displays
Commissioner of Police Chelimo Beata displays confiscated drugs at Entebbe International Airport recently. FILE PHOTO. 
By Joshua Kato
Kampala- Nearly three weeks later, police are still stuck with the body of an unidentified man who died when one of the drug pellets he was carrying in his stomach burst.

MPS APPROVE 65 CONSTITUENCIES

Speaker Jacob Oualanyah (L)  ruled that Section 7 of the Local Government
Speaker Jacob Oualanyah (L) ruled that Section 7 of the Local Government Act provides for creation of the new counties while Betty Nambooze (R) objected in a minority report, saying the creation of the counties would create divisions and conflicts.  
By  Yasiin Mugerwa
PARLIAMENT- Lawmakers have approved the creation of 65 new constituencies and recommended that the Electoral Commission (EC) should immediately confirm them as constituencies.

I WILL DECLARE POSITION OF PRESIDENT VACANT AT 6.00 PM TOMORROW- ODOI



By Nelson Bwire
The National Resistance Movement party (NRM) electoral commission chairman has said he will not go easy on the party chairman and president of the country should he flout the rules of the nominations process.

PHILIP MOI GETS REPRIEVE IN ROSANNA PLUDA CASE

Mr Philip Moi and his estranged wife Rosanna
Mr Philip Moi and his estranged wife Rosanna Pluda. Mr Moi on July 30, 2015 got orders allowing him not to pay Ms Pluda millions of shillings until his appeal is determined. FILE PHOTOS | BILLY MUTAI | NATION MEDIA GROUP
By PAUL OGEMBA
Former President Daniel Moi’s son Philip got a reprieve on Thursday after the Court of Appeal allowed him not to pay his estranged wife millions of shillings.

TWO MORE DIRECTORS OF KIHIU MWIRI COMPANY IN MURANG'A KILLED

The remains of a car belonging to Mr Paul
The remains of a car belonging to Mr Paul Kariuki, the chairman of Kihiu Mwiri land company, who was abducted by unknown people in Thika on July 1, 2015. Two directors of the company were killed on July 29, 2015. FILE PHOTO | NATION MEDIA GROUP  
By ERIC WAINAINA
Two directors of the troubled Kihiu Mwiri, a land-buying company in Muranga South, have been shot dead.

HIGH COURT ORDERS TSC TO PAY RETIRED TEACHERS SHS42 BILLION

Retired Teachers 1997 Group chairman Joseph
Retired Teachers 1997 Group chairman Joseph Mwenja (right) addresses members outside the Nakuru Law Courts on January 19, 2015 after a court session. The High Court on July 30, 2015 ordered the Teachers Service Commission to pay them Sh42 billion in salary and pension arrears. PHOTO | SULEIMAN MBATIAH | NATION MEDIA GROUP. 
By ERIC MATARA
Thousands of retired teachers who have been waiting for Sh 42.3 billion in salary and pension arrears for 17 years got relief on Thursday after the High Court ordered their employer to immediately release the money.

AUSTRALIA NA MALAYSIA KUCHUNGUZA MAPAKI YA NDEGE YA MH370

Mabaki ya ndege yaliyopatikana Mashariki mwa Madagascar
Serikali Nchini Australia imeelezea kupatikana kwa kipande cha mabaki ya ndege "kama hatua muhimu" katika utafutaji wa ile ndege ya Malaysia iliyotoweka ya MH-370.

ISRAEL YAIDHINISHA KUWALISHA WAFUNGWA KWA LAZIMA


Bunge la Israeli, limepitisha sheria ya kuwalisha kwa lazima wafungwa ambao wanashiriki mgomo na kususia kula.

ALIYEFADHILI MABOMU MUMBAI ANYONGWA


Mtu aliyepatikana na hatia ya kufadhili kifedha mlipuko wa bomu wa mwaka 1993 mjini Mumbai amenyongwa katika gereza moja magharibi mwa India.

KENYA AIRWAYS YATANGAZA HASARA KUBWA


Shirika la ndege la Kenya Airways (KQ) limetangaza hasara kubwa ya Shilingi bilioni 25.7 za Kenya sawa na dola milioni 257 katika kipindi cha fedha cha mwaka wa 2014-2015.

TFF YAANDAA KOZI YA WAAMUZI WA LIGI KUU NA LIGI DARAJA LA KWANZA MSIMU WA 2015/2016



Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) linaandaa kozi ya waamuzi wa mpira wa miguu watakaochezesha mechi za Ligi Kuu na Ligi Daraja la Kwanza 2015/2016, kozi hiyo itafanyika jijini Dar es salaam kuanzia tarehe 21 -24/08/2015.

TFF YATUMA SALAM ZA RAMBIRAMBI KIFO CHA MOSHI SHAABAN

Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF) limetuma salam za rambi rambi kwa familia ya Moshi Shaban, kufutia kifo cha Moshi kilichotokea jana jijini Dar s salaam na mazishi kufanyika leo jijini Dar es salaam.

TFF YAIPONGEZA AZAM FC

Wachezaji wa Azam FC wakishangilia ushindi wao wa penalti 5-3 dhidi ya Yanga kwenye robo fainali ya Kombe la Kagame jana, Jumatano Julai 29, 2015.

Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF), Jamal Malinzi ametuma salam za pongezi kwa klabu ya Azam FC kwa kufanikiwa kuingia katika hatua ya nusu fainali ya michuano ya Kombe la Kagame inayotimua vumbi jijini Dar es salam.