Twitter Buzz

....

....

...

...

IMETOSHA!

IMETOSHA!

Featured post

KIJANA GOZBERT BWELE ALIVYOMPAGAWISHA MAKAMU WA RAIS WA HISPANIA MJINI NANSIO

Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...

Tuesday 31 March 2015

NDUGU KUVAANA FAINALI ZA TENISI

 
Venus Williams
 
Serena Williams

Mcheza tennis wa Marekani Venus Williams anaelekea kupambana na mdogo wake Serena Williams katika fainali za Miami Open baada ya jana kumshinda Caroline Wozniacki katika hatua ya 16 bora.

HATIMAYE OBAMA HUYOO KENYA, LAKINI MWEZI JULAI

 
Rais wa Marekani, Barack Obama

Ikulu ya Marekani imetangaza kuwa, Rais Barrack Obama atazuru Kenya mwezi Julai mwaka huu, taifa alikozaliwa babake.

MWENDESHA MASHTAKA AUAWA UGANDA

 
Askari akikagua gari ambalo lilikuwa likiendeshwa na Joan Kagezi  

Watu wenye silaha wamemuua mwendesha mashitaka mkuu katika kesi ya watuhumiwa wa Kiislam wanaotuhumiwa kuua watu kadha katika mashambulio ya bomu mwaka 2010.

BUHARI 'AHEAD' IN NIGERIAN TIGHT POLLS

People watch election news coverage on television at a street in Lagos, Nigeria, 30 March 2015 
However, populous states such as Lagos and Rivers are yet to declare.
With just over half of Nigeria's states declared, Gen Buhari's All Progressives Congress (APC) was reported to be ahead by some two million votes.

STARS, MALAWI ZAINGIZA MIL 72

Mchezo wa kirafiki wa Kimataifa uliofanyika jana jumapili jijini Mwanza kwenye Uwanja wa CCM Kirumba kati ya wenyeji timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) dhidi ya timu ya Taifa ya Malawi (The Flames) umengiza jumla ya tsh 72.839,000 kutokana na idadi ya washabiki 15,762 waliokata tiketi kushuhudia mchezo huo.

TENGA, MALINZI WAZUNGUMZIA UCHAGUZI WA CAF, FIFA


Leodegar Tenga (kushoto) na Jamal Malinzi

Jana Rais wa Baraza la Vyama vya Mpira wa Miguu Afrika Mashariki na Kati (CECAFA), Leodegar Tenga na mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) akiwa na Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Jamal Malinzi wamezungumzia uchaguzi wa CAF na FIFA.

MWANAMKE AUAWA KWA MAPANGA

Na Hastin Liumba, Nzega MWANAMKE mmoja wilayani Nzega mkoani Tabora ameuawa kwa kukatwa katwa mapanga na watu wasio fahamika na kufariki dunia.

WAUMINI KANISA KCC WATOA MSAADA KWA MLEMAVU

Na Hastin Liumba, Tabora
WAUMINI kanisa la Tanzania Assemblies of God tawi la Kitete Christian Center (KCC)  wametoa msaada wa baiskeli (wheel chair) yenye thamani ya Sh 355,000.

Monday 30 March 2015

KIPANYA: WALETENI WAGOMBEA WA CCM WAHUKUMIWE

LOWASSA, DK. SLAA WANG'ARA URAIS 2015

 
Edward Lowassa

MAHAKAMA YA KADHI MAMBO MAGUMU


 
Mbunge wa Ngara (CCM), Deogratias Ntukamazina.
 

VIONGOZI ACT KUTANGAZA MALI ZAO

 
Kiongozi Mkuu wa chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe

UJENZI RELI YA KATI KUANZA JUNI 2015 KWA TRILIONI 14/-

 
Waziri wa Uchukuzi, Samuel Sitta


FCC SEIZES FAKE PHONES VALUED AT 200M/-



MAN JAILED SIX YEARS FOR GROWING BEARD

A six-year prison sentence reportedly given to a man in China's mainly Muslim Xinjiang region for growing a beard was "absurd", an overseas group said Monday as accounts of the penalty disappeared online.

MUSEVENI GIVES AWAY NAKIVUBO

Workers clean up Nakivubo stadium
Workers clean up Nakivubo stadium which had grown bushy after it was reopened by Uganda Revenue Authority recently. The stadium was closed after management’s failure to pay accumulated taxes. PHOTO BY ABUBAKER LUBOWA 

By FARAHANI MUKISA
Kampala.
President Museveni has directed the Ministry of Education and Sports to handover Nakivubo stadium to an investor for redevelopment.

WOMEN BLAMED FOR RAPE CLAIMS

Othaya MP Mary Wambui and Igembe South MP Mithika Linturi join students in a dance at Iria-ini
Othaya MP Mary Wambui and Igembe South MP Mithika Linturi join students in a dance at Iria-ini Girls Secondary School in Nyeri on March 28, 2015 at a fundraiser to buy a school bus. Ms Wambui said women MPs were partly to blame for sexual harassment because of the way they interact with their male colleagues. PHOTO | JOSEPH KANYI | NATION MEDIA GROUP  

WE'LL GET GUNS IF YOU DON'T STOP BANDITS, STATE WEARNED

Mr Kipruto Kimosop (centre), the secretary of Endorois Professionals, addresses reporters in 
Mr Kipruto Kimosop (centre), the secretary of Endorois Professionals, addresses reporters in Nakuru on March 29, 2015 on the rising insecurity in Baringo County. Governor Benjamin Cheboi has warned that Baringo residents might be forced to take up arms and defend themselves if the national government does not address increasing cases of cattle rustling. PHOTO | SULEIMAN MBATIAH | NATION MEDIA GROUP

By WYCLIFF KIPSANG  
Residents of Baringo will take up arms and defend themselves if the national government does not address increasing cases of cattle rustling, Governor Benjamin Cheboi has warned.

DEATH TOLL IN LAKE TURKANA BOAT ACCIDENT RISES TO 14

A section of Lake Turkana. A total of 14 people have been confirmed dead following a boat tragedy
A section of Lake Turkana. A total of 14 people have been confirmed dead following a boat tragedy on March 27, 2015. This follows the recovery of nine more bodies on Sunday. The boat was carrying more than 20 people, besides luggage when it capsized. PHOTO | SAMMY LUTTA | NATION MEDIA GROUP  

SAMATTA AIOKOA TAIFA STARS MWANZA

  Mshambuliaji wa Tanzania 'Taifa Stars ' Mbwana Samata (kushoto) akiwania mpira na beki wa Malawi ,John Lanyesi wakati wa mchezo wa kirafiki wa kimataifa uliozikutanisha timu timu hizo kwenye uwanja wa CCM Kirumba , Mwanza jana.Timu hizo zilitoka sare 1-1.Picha na Michael Jamson.  

Mshambuliaji kimataifa wa Tanzania, Mbwana Samata ameibuka shujaa baada ya kuifungia bao Taifa Stars ikilazimishwa sare 1-1 na Malawi katika mchezo wa kirafiki wa kimataifa uliofanyika kwenye Uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza jana.

KARDINALI PENGO AMJIBU ASKOFU GWAJIMA

“Natumia nafasi hii kueleza juu ya maneno ambayo yalitolewa na mchungaji fulani, sikumbuki anaitwa nani… nasema nimemsamehe kutoka ndani ya moyo wangu wote anaweza kuwa na sababu zake ila nimemsamehe kabisa” Kardinal Pengo 

Na Kelvin Matandiko na Pamela Chilongola, Mwananchi
Dar es Salaam. Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo amesema, amemsamehe Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima ambaye hivi karibuni alimtolea maneno makali kutokana na kutofautiana naye juu ya msimamo wa viongozi wa Kikristo kuhusu Katiba Inayopendekezwa.

FLETCHER AONDOA MWIKO WA HAT-TRICK SCOTLAND

 
Steven Fletcher

Mchezaji Steven Fletcher ameifungia timu yake ya taifa ya Scotland hat-trick ya kwanza baada ya miaka 46 pale walipocheza dhidi ya Gibraltar.

MKENYA WANYAMA KUTUA ARSENAL PAMOJA NA MITROVIC


 
 Kiungo wa kati wa Southampton Mugubi Wanyama  
Kocha wa Arsenal, Arsene Wenger, anapanga kumnunua kiungo wa kati wa Southampton Mkenya Victor Wanyama na mshambuliaji wa Anderlecht Aleksandr Mitrovic kulingana na gazeti la the Sun nchini Uingereza.

WATU 11 WAUAWA KATIKA UPORAJI BRAZIL

 
Polisi wa Brazil
Idara ya usalama nchini Brazil imesema kuwa imewaua watu saba waliokuwa wakifanya jaribio la kupora katika benk moja na ambao pia wanadaiwa kujihusisha na dawa za kulevya.

HATMA YA MPANGO NYUKLIA WA IRAN KUJULIKANA LEO



 
Philip Hammond, Waziri wa Mambo ya Nje wa Uingereza  
Mazungumzo kuhusu mpango tata wa Iran wa nyuklia yameendelea nchini Uswisi, kwa kuwasili mawaziri wa mambo ya nje kutoka mataifa sita yenye nguvu duniani.

MATOKEO YA UCHAGUZI WA NIGERIA KUTANGAZWA LEO

 
 Wasimamizi wa uchaguzi nchini Nigeria wakihesabu kura  
Upigaji kura uliendelea katika siku ya pili ya uchgaguzi baada ya kutokea hitilafu katika kadi za kielektroniki na kuchelewesha usajili wa baadhi ya wapiga kura.

SHOW YA LADY JAY DEE NA ALI KIBA ILIVYOBAMBA KIOTA CHA M.O.G BAR & RESTAURANT

DSC_0035
Mwanamuziki Lady Jay Dee akitoa burudani na Machozi Band Ijumaa ya tarehe 27 mwezi huu ndani ya kiota chake cha Mog Bar & Restaurant (Nyumbani Lounge) katika show anazofanya mara moja kwa mwezi kila Ijumaa ya mwisho wa mwezi ambapo Ijumaa hiyo alimualika Msanii machachari wa Bongo Flava Ali Kiba kwa ajili ya kukonga nyoyo za mashabiki wake ndani ya kiota hicho.

ZIARA YA KINANA JIMBO LA MWANGA

 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akipokelewa na kikundi cha ngoma wakati akiwasili kwenye kata ya Kileo,wilaya ya Mwanga ,anayeongozana na Katibu Mkuu ni Mbunge wa Jimbo la Mwanga na Waziri wa Maji Profesa Jumanne Maghembe.

UN KUENDELEA KUISAIDIA TANZANIA KUTANZUA CHANGAMOTO ZA MAENDELEO

DSC_0065
Mgeni rasmi Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Dk. Servacius Likwelile (katikati) akiwasili katika ukumbi wa mikutano kwenye hoteli ya Hyatt Regency akiwa ameambatana na Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi Huru ya Utafiti wa Uchumi na Jamii (ESRF), Dk. Hoseana Lunogelo (kulia) pamoja na Mratibu Mkazi wa mashirika ya Umoja wa Mataifa nchini na Mwakilishi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP), Alvaro Rodriguez kwa ajili ya kuzindua rasmi ripoti ya Maendeleo ya Binadamu 2014 Tanzania, uzinduzi uliofanyika mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam. Nyuma yao ni Mkurugenzi wa Programu kutoka Taasisi ya Uchumi na Utafiti wa Kijamii nchini (ESRF), Dk. Tausi Kida.

WATU 40 WANUSURIKA KIFO AJALI LA BASI LA NDENJELA

Displaying 20150329_171815.jpg
Baadhi ya Abiria na wananchi wa kijiji cha Milundikwa wilayani Nkasi mkoani Rukwa, wakiangalia basi la Ndenjela Express lenye namba za usajili T 850 CRE kutoka Sumbawanga kwenda Mpanda mkoani Katavi ambalo limepinduka jana nyakati za saa 11 jioni. Abiria kadhaa walijeruhiwa na kukimbizwa hospitali ya Mkoa mjini Sumbawanga. Picha na Mussa Mwangoka.

WAZIRI CHIKAWE AONGOZA MATEMBEZI YA HISANI KUPINGA MAUAJI YA ALBINO NCHINI, JIJINI D’SALAAM

Displaying PIX 1.JPG
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe (aliyevaa jaketi lenye ramani ya Tanzania) akiwa na mamia ya washariki wa matembezi ya hisani ya kuhamasisha kukomeshwa kwa mauaji ya watu wenye ualbino nchini. Matembezi hayo yaliyoandaliwa na Taasisi ya Imetosha yalianza katika viwanja vya Biafra na kuishia viwanja vya Leaders Club wilayani Kinondoni, ambapo vikundi mbalimbali vya mazoezi ya viungo jijini Dar es Salaam vilishirikishwa pamoja na wageni waalikwa akiwemo Mbunge wa Viti Maalum, Al Shaimar Kweigyir pamoja na Jaji wa Mahakama Kuu, Hamisa Kalombola. Picha zote Felix Mwagara.

Sunday 29 March 2015

ASKOFU GWAJIMA CHINI YA UANGALIZI MAALUM TMJ

Askofu wa Kanisa la Ufufuo na uzima, Josephat Gwajima akihudumiwa na muuguzi wa hospitali ya TMJ, Dar es Salaam jana. Askofu Gwajima amelazwa katika hospitali hiyo baada ya kuzimia wakati akihojiwa na polisi juzi. Picha na Salim Shao. 
Dar es Salaam. Hali ya Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima inaendelea vizuri, ingawa haijabainika anasumbuliwa na tatizo gani kiafya hadi hapo vipimo vitakapopatikana.

NYARAKA NYETI ZA SERIKALI YA MAPINDUZI ZANZIBAR ZAIBWA

Mahmoud Mohammed Mussa

Na Mwinyi Sadallah
Zanzibar. Nyaraka nyeti za Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) zilizokuwa zimehifadhiwa katika Taasisi ya Nyaraka na Kumbukumbu za Taifa, zimeibwa na mmoja wa watuhumiwa ni ofisa mwandamizi wa Ubalozi mdogo wa Omani uliopo Zanzibar.

RAIS KIKWETE: MAASKOFU WALITOA MATAMKO YA HASIRA

Rais Jakaya Kikwete akimsikiliza Askofu Zacharia John(kulia) baada ya mkutano na viongozi wa kamati ya Amani Mkoa wa Dar es Salaam ,Wa tatu kushoto ni Sheikh wa Mkoa wa  Dar es Salaam ,Alhad Mussa Salum.Picha na Venance Nestory. 
Dar/Tanga/Arusha. Wakati Rais Jakaya Kikwete akisema msimamo wa Jukwaa la Wakristo Tanzania (TCF) wa kuwataka waumini wao kuipigia kura ya hapana Katiba Inayopendekezwa ni wa hasira pia usiokuwa na tija kwa maendeleo ya Taifa, baadhi ya maaskofu wameshikilia msimamo huo.

RUBANI LUBITZ ALIKUWA AKIPATA MAJINAMIZI

Lubitz
Mchumba wa zamani wa rubani aliyedondosha ndege kusudi katika milima ya Ufaransa ya Alps, ananukuliwa na gazeti moja la Ujerumani akisema kuwa Andreas Lubitz alikuwa akipanga njama kubwa.

MECHI YA URUSI, MONTENEGRO YAVUNJIKA

Wachezaji wa Montenegro
Mechi ya kuwania kufuzu Kombe la Mataifa ya Ulaya kati ya Urusi na Montenegro ilisitishwa baada ya wachezaji kutoka timu zote kupigana uwanjani.

NIGERIA WAPIGA KURA KUCHAGUA RAIS

Rais Goodluck Jonathan na mpinzani wake Muhammadu Buhari
Raia wa Nigeria wamejitokeza kwa wingi kushiriki katika uchaguzi wa urais na ubunge, licha ya visa vichache vya ghasia na matatizo ya kiufundi.

STARS TAYARI KUWAKABILI MALAWI LEO CCM KIRUMBA

Na Baraka Kizuguto, Mwanza
Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) jana asubuhi ilifanya mazoezi ya mwisho tayari kwa kuwakabili timu ya taifa ya Malawi (The Flames) mchezo utakaochezwa leo Jumapili saa 10.30 jioni katika Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza.

Saturday 28 March 2015

URAIS UKAWA: HESABU ZINAIBEBA CHADEMA!

Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa Chadema. PICHA|MAKTABA 
Na Kelvin Matandiko, Mwananchi
Dar es Salaam. Wakati wenyeviti wa vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) pamoja na kamati zake za kitaalamu wanakutana Zanzibar kutafuta suluhu kuhusu mgawanyo nafasi za kugombea katika uchaguzi mkuu ujao, kuna uwezekano mkubwa vyama hivyo kuteua mgombea urais kutoka Chadema.

KILIMANJARO KINARA WA POMBE ZA VIROBA


Na  Hadija Jumanne, Mwananchi
Dar es Salaam.  Utafiti mpya umebaini kuwa wakazi wa Mkoa wa Kilimanjaro wanaongoza kwa unywaji wa pombe  hasa ya  viroba,  ikiwa ni mara nne zaidi ya wakazi wanaokunywa pombe katika mikoa ya Mwanza na Geita.

LOWASSA AMPONZA PROFESA WA UDOM

Mbunge wa Monduli, Edward Lowassa akiwasalimia wanafunzi kutoka vyuo mbalimbali vya mjini Dodoma na waendesha bodaboda walioandamana kwenda nyumbani kwake mjini humo jana kwa ajili ya kumshawishi achukue fomu ya kuwania Urais katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu. Picha na Anthony Siame 
Na  Julius Mathias, Mwananchi
Dar es Salaam. Profesa wa Chuo Kikuu cha Dodoma (Udom), Peter Kopoka amebanwa na uongozi wa chuo hicho kutokana na kushiriki maandamano ya kwenda nyumbani kwa Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa kumshawishi achukue fomu ya kugombea urais.

SHARAPOVA NJE MICHUANO YA MIAMI


Maria Sharapova
Sharapova anayeshikilia nafasi ya pili kwa ubora duniani alikubali kichapo cha seti 7-6 (7-4) 6-3 kutoka kwa Daria Gavrilova anayeshikilia nafasi ya 97 kwa ubora wa mchezo huo duniani.

FORD KUUZA MAGARI YANAYOSOMA ISHARA ZA BARABANI


Gari la kampuni ya Ford
Kampuni ya magari ya Ford itaanza kuuza magari ambayo yatakuwa na uwezo wa kusoma ishara za barabarani na kurekebisha mwendo wake ili kuhakikisha kuwa gari haliendi kwa kasi.

WALCOT ASEMA HAJAKOSANA NA WENGER


Theo Walcot

Mshambuliaji wa Arsenal Theo Walcot anasema kuwa hajakosana na meneja Arsene Wenger na kuongezea kwamba bado hajaanza mazungumzo ya mkataba mpya na kilabu hiyo.

AWEKWA MOYO WA MAREHEMU


Madaktari wa upasuaji huko Cambridgeshire wamefanya upandikizaji wa kwanza wa moyo barani Ulaya kwa kutumia moyo mwingine uliosimama kufanya kazi.

MARUFUKU KUPIGANA BUSU HADHARANI!


Kijiji kimoja nchini India kilichopo katika jimbo la kusini magharibi kimepiga marufuku upigaji busu wa hadharani na tabia nyengine mbaya.

UTANUNUA SIMU ILIYOTENGENEZWA KWA NYASI?


Watu wengi wamekuwa wakilalamikia teknolojia na ufundi wa simu nyingi za kisasa wengi wakiwaponda wabunifu kwa misingi ya kuwa asilimia kubwa ya simu za mfumo wa 3G na zaidi zinatengezwa kwa plastiki.

AJALI YA NDEGE: RUBANI ALIKUWA NA MATATIZO YA AKILI, NYUMBA YAKE YACHUNGUZWA


Viongozi wa mashtaka nchini Ujerumani wanasema kuwa wamepata ushahidi unaosema kwamba rubani wa ndege ya Ujerumani ilioanguka katika milima ya ALPS na kuwaua abiria 150 alikuwa amemficha mwajiri wake kuhusu ugonjwa anaougua.

AL SHAABAB YAUA WATU 10 HOTELINI SOMALIA

Wapiganaji wa kundi la wanamgambo wa Al Shabaab wameshambulia mkahawa mmoja mjini Mogadishu na kua watu 10

Kundi la wapiganaji linaloshukiwa kuwa sehemu ya wanamgambo wa Al Shaabab, limevamia hoteli moja katika mji mkuu wa Somalia, Mogadishu.

AZAM, SIMBA, YANGA ZAPIGWA FAINI

Kikao cha Kamati ya Uendeshaji na Usimamizi wa Bodi ya Ligi Kuu Tanzania  kilichoketi jumanne ya tarehe 24, Machi 2015 jijini Dar es salaam, kimepitia taarifa mbalimbali za michezo iliyochezwa na kutoa adhabu kwa wachezaji na vilabu vya Ligi Kuu ya Vodacom.

TIMU YA TAIFA YA MALAWI TAYARI IKO MWANZA

Na Baraka Kizuguto, Dar es Salaam
Timu ya Taifa ya Malawi (The Flames) tayari imewasili leo jijini Mwanza majira ya saa sita mchana, ikiwa na kikosi chake kamili kwa ajili ya mchezo dhidi ya Taifa Stars siku ya jumapili kwenye Uwanja wa CCM Kirumba.

KUIONA STARS, THE FLAMES 5,000/=

Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini TFF, limetangza viingilio vya mchezo wa siku ya Jumapili kati ya Taifa Stars (Tanzania) dhidi ya The Flames (Malawi) utakaochezwa kwenye uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza kuwa ni Sh. 5,000 mzunguko na Sh. 12,000 kwa jukwaa kuu.