Mnazi Mmoja primary pupils seen drinking water from a water dispenser constructed by Lions Club of Dar es Salaam - Mzizima through their school water program. On the right is technician Mr. Bakari and the water program coordinator, Mr Akash Chudasama. ALL PHOTOS/DOTTO MWAIBALE.
Twitter Buzz
....
...
IMETOSHA!
Featured post
KIJANA GOZBERT BWELE ALIVYOMPAGAWISHA MAKAMU WA RAIS WA HISPANIA MJINI NANSIO
Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...
Showing posts with label KIMATAIFA. Show all posts
Showing posts with label KIMATAIFA. Show all posts
Thursday, 27 February 2020
Monday, 30 January 2017
RAIS DKT. MAGUFULI AHUTUBIA KATIKA KUTANGAZA JINA RASMI LA KITUO CHA AMANI NA USALAMA KILICHOPEWA JINA LA MWALIMU JULIUS NYERERE KATIKA MAKAO MAKUU YA UMOJA WA AFRICA (AU) ADDIS ABABA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta pamoja
na viongozi wa mataifa mabalimbali wakiwa katika picha ya pamoja katika jengo
jipya la kituo cha Amani na Usalama
(JULIUS NYERERE) lililopo katika Makao makuu ya Umoja wa Afrika Addis Ababa
nchini Ethiopia.
MAKATIBU WAKUU WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO NA WIZARA YA VIWANDA, BIASHARA NA UWEKEZAJI WATEMBELEA MPAKA WA TUNDUMA/NAKONDE
Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji,
Prof. Adolf Mkenda (kushoto), akiwa pamoja na Mkuu wa wilaya ya Momba mkoani
Songwe, Bw. Juma Irando (katikati), na maafisa kadhaa wa Wizara ya Fedha na
Mipango na Wizara ya Viwanda, Biashara naUwekezaji, wakitoka katika Ofisi za
Mkurugenzi wa Mji wa Tunduma kuelekea mpakani mwa Tanzania na Zambia eneo la
Tunduma na Nakonde.
Thursday, 19 January 2017
MASAUNI AFANYA MAZUNGUMZO NA VIONGOZI WA MAHAKAMA YA UMOJA WA MATAIFA (UNMICT-TAWI LA ARUSHA), JIJINI DAR
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi
Hamad Masauni (kulia) akimkaribisha Mkuu wa Mahakama ya Umoja wa Mataifa
(UNMICT), Ofisi ya Arusha, Samwel Akorimo wakati viongozi wa Mahakama hiyo walipomtembelea
kiongozi huyo wa Wizara, ofisini kwake, jijini Dar es Salaam leo, kwa lengo la
kujadili masuala mbalimbali ya ushirikiano kati ya UNMICT na Wizara hiyo.
Katikati ni Msajili wa Mahakama hiyo, Dk. Elias Olufemi. Picha zote na Wizara ya Mambo ya Ndani ya
Nchi.
Wednesday, 11 January 2017
RAIS DKT. MAGUFULI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA PROF. IBRAHIM GAMBARI MJUMBE MAALUM WA RAIS WA NIGERIA, CHATO MKOANI GEITA.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akisalimiana na kumkaribisha Profesa Ibrahim Gambari ambaye ni Mjumbe maalum wa
Rais wa Nigeria Muhammadu Buhari aliyefika Chato mkoani Geita kwa ajili ya
mazungumzo.
Thursday, 15 December 2016
UNICEF YAADHIMINISHA MIAKA 70 TANGU KUANZISHWA, SERIKALI YAIPONGEZA KWA KUSAIDIA WATOTO
Mwakilisha wa Shirika la Kimataifa la Kuhudumia Watoto (UNICEF) nchini, Bi. Maniza Zaman akielezea kazi ambazo UNICEF imekuwa ikizifanya kwa miaka 70 tangu kuanzishwa na mafanikio ambayo wameyapata.
Shirika la Kimataifa la Kuhudumia Watoto Duniani (UNICEF) limeadhimisha miaka 70 tangu kuanzishwa (1946-2016) likiwa na kauli mbiu ya Kwa Kila Mtoto, Tumaini. Akizungumza katika maadhimisho hayo, Mwakilishi wa Shirika la Kimataifa la Kuhudumia Watoto (UNICEF), Bi. Maniza Zaman alisema shirila lao kwa kipindi cha miaka 70 limekuwa likifanya kazi za kuwasaidia watoto ambapo malengo yao ni kuhakikisha watoto wanaishi maisha bora na kuwawezesha kufikia malengo ambayo wanatamani kuyafikia.
Monday, 12 December 2016
WATANZANIA WAUNGANA NA VIJANA KUTOKA ZAIDI YA NCHI 19 AFRIKA, KATIKA MKUTANO WA MASWALA YA DEMOKRASIA NA MAENDELEO NAIROBI, KENYA
Kati kati ni Bi. Victoria Mwanziva akiwa na Watanzania wengine walioshiriki katika mkutano huo Innocent Makota na Raymond Paul
Saturday, 10 December 2016
JAPAN YAAHIDIKUENDELEA KUISAIDIA TANZANIA KUIMARIKA KIUCHUMI
Makamu wa Rais wa Shirika la Maendeleo la Kimataifa la Japan (JICA), Bi. Noriko Suzuki (kulia), akisikiliza kwa makini maelezo yaliyokuwa yanatolewa na Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Philip Mpango (Mb) (hayupo Pichani), alipomtembelea na kufanya mazungumzo naye Ofisini kwake Jijini Dar es salaam. Katikati ni Mwakilishi Mkuu Mkazi wa JICA nchini Tanzania, Bw. Toshio Nagase na kulia ni Afisa wa Shirika hilo anayeshughulikia masuala ya usafiri na usafirishaji Bi. Lilian Masalu.
Monday, 5 December 2016
RAIS DKT. MAGUFULI AKUTANA NA MKURUGENZI WA MAUZO WA KAMPUNI YA NDEGE YA BOEING, MWAKILISHI MKAZI WA BENKI YA MAENDELEO YA AFRIKA (AfDB) PAMOJA NA BALOZI WA CUBA HAPA NCHINI, IKULU JIJINI DAR ES SALAAM
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mkurugenzi wa mauzo wa
kampuni ya Ndege ya Boeing Jim Deboo aliyefika Ikulu kwa ajili ya mazungumzo
pamoja na ujumbe wake.
Friday, 2 December 2016
MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA SULUHU ASAINI KITABU CHA KUMBUKUMBU YA MAOMBOLEZO YA FIDEL CASTRO
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu
Hassan akisaini kitabu cha kumbukumbu cha maombelezo ya aliyekuwa Rais
wa nchi hiyo na mpigania ukombozi Fidel Castro aliyefariki dunia novemba
25,2016 mjini Havana, aliyesimama kushoto ni Balozi wa Cuba nchini
Balozi Jorge Luis Lopez Tormo.
Tuesday, 29 November 2016
Fw: RAIS DKT. MAGUFULI AAGANA NA MGENI WAKE RAIS WA ZAMBIA EDGAR CHAGWA LUNGU KATIKA UWANJA WA NDEGE WA JNIA JIJINI DAR ES SALAAM
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akiagana na mgeni wake Rais wa Zambia Edgar Chagwa Lungu katika uwanja wa ndege
wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.
RAIS DKT. MAGUFULI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA RAIS WA ZAMBIA EDGAR CHAGWA LUNGU IKULU JIJINI DAR ES SALAAM
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akimpokea mgeni wake Rais wa Zambia Edgar Chagwa Lungu Ikulu jijini Dar es
Salaam.
Thursday, 10 November 2016
TUME YA JUMUIYA YA MADOLA KUZINDUA MAKABURI MAPYA YA ASKARI WA KIHINDI TANGA WALIOKUWA KWENYE VITA YA KWANZA YA DUNIA
Wakazi wa Usagara Tanga, Joseph
Kimani, Martin Kiarie na Ali Hamis wakiangalia majina ya askari wa
Uingereza na India waliouwawa Tanga wakati wa vita ya kwanza ya Dunia
mwaka 1914, jumla ya askari 270 waliuwawa na majina yao kuwekwa na tume ya
Jumuiya ya Madola (CWGC)
Saturday, 5 November 2016
EU YAWEKEZA EURO MILIONI 1.7 KITUO CHA UTAMADUNI MAKUMIRA
Umoja wa Ulaya (EU) umewekeza zaidi ya Euro milioni 1 na laki 7 katika kituo cha Utamaduni cha Makumira kitengo kilichoko ndani ya Chuo Kikuu cha Makumira ambapo chuo kikubwa cha sanaa kinajengwa pamoja na kumbi ya burudani itakayogharimu kiasi hicho.
Tuesday, 25 October 2016
UN YAADHIMISHA MIAKA 71, YAAHIDI KUWEZESHA VIJANA
RAIS DKT MAGUFULI AMKARIBISHA MFALME MOHAMED VI WA MOROCCO IKULU JIJINI DAR ES SALAAM, MIKATABA 21 YA USHIRIKIANO YASAINIWA
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mgeni wake
Mtukufu Mfalme wa Morocco Mohamed VI wakilakiwa na wafanyakazi pamoja na wageni
mbalimbali katika viwanja vya Ikulu jijini Dar es Salaam mara baada ya
kuwasili.
Sunday, 23 October 2016
Friday, 21 October 2016
Subscribe to:
Posts (Atom)











