Twitter Buzz

....

....

...

...

IMETOSHA!

IMETOSHA!

Featured post

KIJANA GOZBERT BWELE ALIVYOMPAGAWISHA MAKAMU WA RAIS WA HISPANIA MJINI NANSIO

Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...

Showing posts with label SAYANSI NA MAZINGIRA. Show all posts
Showing posts with label SAYANSI NA MAZINGIRA. Show all posts

Sunday, 2 August 2020

GLORY AND MARTHA FROM NGANZA SECONDARY EMERGE OVERALL WINNERS OF THE YST-SCIENCE4DEVELOPMENT 2020 AWARD

Glory Kirochi and Martha Machumu from Nganza Girls' Secondary School in Mwanza, holding the trophy presented to them after emerging winners of the Young Scientists Tanzania (YST) Award, August 2, 2020. (Photo courtesy of YST).

                                                    

By Daniel Mbega

Glory Kirochi and Martha Machumu from Nganza Girls' Secondary School in Mwanza, are the overall winners of the YST-Science4Development 2020 (Young Scientists Tanzania Award).

GLORY NA MARTHA KUTOKA NGANZA WAIBUKA VINARA WA TUZO YA YST 2020

Glory Kirochi na Martha Machumu kutoka Shule ya Sekondari ya Wasichana Nganza iliyopo jijini Mwanza, wakiwa wameshikilia kikombe walichokabidhiwa baada ya kuibuka washindi wa  tuzo ya wanasayansi chipukizi inayotolewa na Taasisi ya Young Scientists Tanzania (YST), Agosti 2, 2020. (Picha kwa hisani ya YST).                 

Na Mwandishi Wetu

Glory Kirochi na Martha Machumu kutoka Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Nganza iliyopo jijini Mwanza, ndio vinara wa Tuzo ya Wanasayansi Chipukizi inayotolewa na Taasisi ya Young Scientists Tanzania (YST), kwa mwaka 2020.

Thursday, 27 February 2020

HOW MZIZIMA LIONS CLUB’S SCHOOL WATER PROGRAM HAS HONOURED JPM’S INITIATIVES

Mnazi Mmoja primary pupils seen drinking water from a water dispenser constructed by Lions Club of Dar es Salaam - Mzizima through their school water program. On the right is technician Mr. Bakari and the water program coordinator, Mr Akash Chudasama. ALL PHOTOS/DOTTO MWAIBALE.

Friday, 26 April 2019

CODING SKILLS FOR FEMALE STUDENTS REACH MORE SCHOOLS IN DAR ES SALAM

Section of secondary school girls at National Library.

By Our Reporter
On its dedicated mission to empower girls and young women through technology in collaboration with Tanzania’s cellular network and mobile phone operator Tigo, a social enterprise Apps and Girls have celebrated in ICT Day by teaching over 240 secondary school girls in Dar es salaam region on Friday.

Monday, 16 January 2017

TAASISI ZA UMMA MARUFUKU KUJENGA VITUO BINAFSI VYA KUHIFADHI DATA

Afisa Mkuu wa Ufundi wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Bw Senzige Kisenge (aliyenyoosha mkono), akitoa maelezo ya Utendaji wa Mkongo wa Taifa wa Mawasiliano kwa Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhe Prof Makame Mbarawa (Katikati) alipotembelea Makao Makuu ya TTCL leo jijini Dar es Salaam. Afisa Mkuu wa Ufundi wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Bw Senzige Kisenge (aliyenyoosha mkono), akitoa maelezo ya Utendaji wa Mkongo wa Taifa wa Mawasiliano kwa Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhe Prof Makame Mbarawa (Katikati) alipotembelea Makao Makuu ya TTCL leo jijini Dar es Salaam.

Thursday, 22 December 2016

SERIKALI YATOA UFAFANUZI WA KUFUNGIA BIASHARA YA USAFIRISHAJI WANYAMAHAI NJE YA NCHI


Serikali kupitia Wizara ya Maliasili na Utalii imetoa ufafanuzi wa uamuzi wake wa kuzuia biashara ya usafirishaji wa wanyamahai nje ya nchi kwa kipindi cha miaka mitatu mfululizo na kusema kuwa uamuzi huo ulitolewa kwa lengo la kupanga vizuri biashara hiyo kwa faida ya serikali na wafanyabiashara wenyewe.

Friday, 2 December 2016

PROF. OLE GABRIEL: SIRI YA MAFANIKIO KATIKA TAASISI NI KUFIKIRI KIMKAKATI NA USIMAMIZI BORA

Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel akiongea na Menejimenti ya Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia cha Mbeya (MUST) alipowatembelea akiwa mmoja wa wanachuo wa mwanzao waliohitimu katika chuo hicho ambapo awali kilijulikana na kama Taasisi ya Sayansi na Teknolojia (MIST). Prof. Ole Gabriel amewahimiza viongozi hao wawe msatari wa mbele katika kusimamia taaluma na kuwajengea uwezo wanafunzi wao wajitambue na wawe na utamaduni bora wa kufikiri kimkakati na usimamizi ili waweze kuendana na ulimwengu wa sasa.

Thursday, 17 November 2016

WAKALA WA HUDUMA ZA MISITU TANZANIA (TFS) WILAYA YA TEMEKE YATOA MADAWATI 80 KWA SHULE ZA MSINGI JIJINI DAR ES SALAAM

 Katibu Tawala wa Wilaya ya Temeke, Hashimu Komba (katikati), akikata utepe kwa niaba ya mkuu wa wilaya hiyo, kuashiria kupokea madawati 80 yaliyotolewa na Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) kwa Shule ya Msingi ya Kibasila Dar es Salaam jana. Wanaoshuhudia kutoka kulia ni Msaidizi wa Mkuu wa wilaya hiyo, Betha Minga, Meneja wa TFS Wilaya ya Temeke, Francis Kiondo na Mwakilishi wa Meneja wa TFS Kanda ya Mashariki, Mohamed Lyandama.

Wednesday, 28 September 2016

MKURUGENZI WA IDARA YA USALAMA NA MAZINGIRA, WIZARA YA UCHUKUZI AZINDUA MAADHIMISHO YA SIKU YA BAHARI DUNIANI


 Kulia ni Mgeni Rasmi kwenye Uzinduzi wa maadhimisho ya siku ya Bahari Duniani  ambaye ni Mkurugenzi wa Idara ya Usalama na Mazingira, Wizara ya Uchukuzi, Tumpe Mwaijande kushoto ambaye alimuwakilisha Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano,Makame Mbawara katika maashimidho hayo akiingia kwenye viwanja vya Tangamano kunakofanyika maadhimisho hayo katikati ni Mkurugenzi Mkuu wa Sumatra,Gilliard Ngewe  kulia ni Katibu Tawala wa Mkoa wa Tanga(Ras)Mhandisi Zena Saidi.

Tuesday, 27 September 2016

SUMATRA KUPAMBANA NA WACHAFUZI WA MAZINGIRA YA BAHARI


 Mkurugenzi wa ulinzi na usalama wa Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa nchi kavu na majini  (Sumatra) Captain Mussa Mandia, katikati akizungumza na waandishi wa habari mkoani Tanga leo  kuzungumzia mpango wa maalumu wa kupambana na uchafuzi wa mazingira baharini, kushoto ni Meneja Mawasiliamo wa Sumatra,David Mzirai kulia ni Mwakilishi wa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri Baharini Zanzibar(ZMA) Suleiman Masoud.

Thursday, 22 September 2016

WATANZANIA WATAKIWA KUTUNZA MAZINGIRA ILI KUEPUSHA ATHARI ZINAZOWEZA KUJITOKEZA

Na Rabi Hume, MO BLOG

Kutokana na kuwepo na shughuli nyingi za kibinadamu ambazo zinaharibu mazingira, watanzania nchini kote wametakiwa kuwa makini kwa kutunza mazingira yanayowazunguka ili kuepusha matatizo ambayo yanaweza kutokea kutokana na kushindwa kudhibiti vitendo vya uharibifu mazingira.

Wednesday, 24 August 2016

WATANZANIA WARAHISISHIWA UPATIKANAJI WA HUDUMA ZA TEKNOLOJIA

Pamoja na kuwepo kwa maendeleo ya kasi katika nyanja mbalimbali lakini sekta ya teknolojia inabaki kuwa moja ya njia ambayo imechangia kwa kiasi kikubwa kupatikana kwa mafanikio hayo kwa kurahisisha kazi nyingi kufanyika kwa haraka.

Tuesday, 16 August 2016

PROFESA NDALICHAKO ATAKA MAONYESHO YA SAYANSI KWA WANAFUNZI YAFANYIKE KILA WILAYA NA MKOA

 Mkurugenzi Mtendaji wa taasisi ya Young Scientists Tanzania (YST), Dk. Gozbert Kamugisha, akimwelekeza jambo mgeni rasmi Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Joyce Ndalichako, kabla ya kuanza kutembelea maonyesho ya sayansi ya wanafunzi ambayo yamefanyika kwa mwaka wa tano.

WANAFUNZI WA MTWARA GIRLS MABINGWA WA SAYANSI 2016



Mwanafunzi Angelus Albinus kutoka shule ya sekondari ya St. Joseph Kolping mkoani Kagera akionyesha drone yao waliyoitengeneza na mwenzake Adolph Tabaro. Wanafunzi hao walishinda tuzo Vernier Europe kutokana na ubunifu wao wa ‘The Use of a Spin-Electric Power Drone In Spying, Researching and Providing Optimal Security’.

Saturday, 13 August 2016

TANZANIA KUTUMIA DOLA MIL500 KUKABILIANA NA MABADILIKO YA TABIA NCHI

 Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais,Muungano na Mazingira,January Makamba  akifungua warsha ya wadau wa kuhusu ripoti ya taarufa ya mchango wa Tanzania katika juhudi za kimataifa za kukabiliana na mabadiliko ya Tabia ya Nchi uliofanyika jana kwenye ukumbi wa Veta mjini Tanga kulia ni Kaimu Mkurungenzi wa Mazingira kutoka Ofisi ya Makamu wa Rais anayeshughulikia pia mabadiliko ya tabia ya Nchi, Richard Muyungi na kushoto ni Katibu Tawala wa Mkoa wa Tanga, Mhandisi Zena Saidi.

Sunday, 7 August 2016

MAONYESHO YA SAYANSI YA WANAFUNZI YA YST 2016 KUFANYIKA AGOSTI 11 UKUMBI WA JNICC DAR


                                     TARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

Young Scientists Tanzania (YST) - Shirika la Wanasayansi Chipukizi Tanzania- linapenda kuwafahamisha wanafunzi, walimu na wananchi kwa ujumla kuwa onesho la wanasayansi chipukizi la mwaka 2016 litafanyika katika ukumbi wa Julius Nyerere International Convention Centre (JNICC) jijini Dar es Salaam tarehe 10-11/08/2016. Tukio hili ni muhimu kwa kuonyesha kazi za ugunduzi wa kisayansi na teknolojia zilizotengenezwa na wanafunzi wa shule za sekondari kutoka mikoa yote ya Tanzania. Tunawashukuru Irish Aid na BG Tanzania kwa kuendelea kudhamini mashindano haya, sambamba na wadhamini wengine. Tunawakaribisha watu wote waje wajionee vipaji vya vijana wetu siku ya tarehe 11/08/2016 kuanzia saa 2:00 asubuhi hadi saa 6:30 mchana.

Friday, 15 July 2016

SERIKALI YAIPONGEZA SBL KWA UHIFADHI WA MAZINGIRA

 Naibu waziri ofisi ya makamu wa rais mazingira  Mh. Luhaga Mpina akizungumza na Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya bia ya Serengeti (SBL), Bi Helene Weesie wakati wa ziara yake leo katika kiwanda cha bia cha Serengeti kilichopo Chang’ombe Dar es Salaam alipowasili kiwandani hapo kujionea namna kampuni hiyo inavyofanya shuguli zake kwa kuzingatia sera za utunzaji wa mazingira.

Thursday, 14 July 2016

Tigo, serikali zasaini makubaliano kuunganisha shule za sekondari na intaneti


 Afisa Mkuu wa Kitengo cha Biashara kutoka Tigo, Shavkat Berdiev® na Katibu Mkuu wa Wizara ya Mawasiliano, Ujenzi na Miundombinu Pro. Faustine Kamuzora(L) wakisaini makubaliano kwa ajili ya kuunganisha kufikiwa kwa intaneti katika shule za sekondari nchini ili kuwezesha elimu kielektroniki shuleni katika hafla iliyofanyika mapema jana katika shule ya sekondari Jangwani Jijini Dar es salaam.