Mwanafunzi
Angelus Albinus kutoka shule ya sekondari ya St. Joseph Kolping mkoani
Kagera akionyesha drone yao waliyoitengeneza na mwenzake Adolph Tabaro.
Wanafunzi hao walishinda tuzo Vernier Europe kutokana na ubunifu wao wa ‘The Use of a Spin-Electric Power Drone In
Spying, Researching and Providing Optimal Security’.
Waziri wa Elimu,
Sayansi na Teknolojia, Profesa Joyce Ndalichako, akisikiliza maelezo
kutoka kwa mmoja wa wanafunzi walioshiriki maonyesho hayo.
Hili ndilo wazo la wanafunzi Mathias Kapenda na Jimmy Kibala kutoka shule ya sekondari Chidya mkoani Mtwara.
Mabanda ya baadhi ya wadhamini wa maonyesho hayo ya tano ya sayansi kwa wanafunzi nchini Tanzania.
Na Daniel Mbega
WANAFUNZI
Nadhara Mresa na Diana Sosoka kutoka Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Mtwara
(Mtwara Girls), jana waliibuka mabingwa wa taifa katika Mashindano ya Tano ya Sayansi
ya wanafunzi wakati wa maonyesho ya siku mbili yaliyofanyika kwenye Ukumbi wa
Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.
SOMA ZAIDI
SOMA ZAIDI
No comments:
Post a Comment