Greda likisafisha eneo
ambalo linatarajiwa kujengwa gati kwa ajili ya kushushia mafuta ghafi.
| Mkuu wa Mkoa wa Tanga,Martine Shigella wa pili kutoka kushoto akisisitiza jambo wakati walipotembelea eneo la Chongoleani ambapo kutajengwa gati ya kushushia mafuta ghafi |
| Kaimu Kamishna Msaidizi wa Petroli kutoka Wizara ya Nishati na Madini,Mwanamani Kidaya akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kulitembelea eneo hilo leo |
| Mkuu wa Mkoa wa Tanga,Martine Shigella akizungumzia namna mkoa huo ulivyojipanga na fursa hiyo mara baada ya kulitembelea eneo hilo |
Kaimu Meneja wa Bandari ya
Tanga,Henry Arika kulia akisisitiza jambo kwa Mkuu wa Mkoa wa
Tanga,Martine Shigella wa tatu kutoka kushoto namna walivyojipanga
kutokana na fursa hiyo
| Kaimu Kamishna Msaidizi wa Petroli kutoka Wizara ya Nishati na Madini,Mwanamani Kidaya kushoto akimuonyesha kiti Mkuu wa Mkoa wa Tanga,Martine Shigella mara baada ya kutembelea eneo hilo |
Muonekano wa eneo ambalo
kutajengwa gati mpya kwa ajili ya kushushia mafuta ghafi
Habari kwa hisani ya Blog ya Kijamii ya Tanga Raha.
No comments:
Post a Comment