Twitter Buzz

....

....

...

...

IMETOSHA!

IMETOSHA!

Featured post

KIJANA GOZBERT BWELE ALIVYOMPAGAWISHA MAKAMU WA RAIS WA HISPANIA MJINI NANSIO

Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...

Wednesday 24 August 2016

ESRF NA UNDP/UNEP WAANDAA KONGAMANO LA KILIMO BIASHARA KANDA YA ZIWA, BURE JUMAMOSI HII

Taasisi ya Utafiti wa Kiuchumi na Kijamii (ESRF) ikishirikiana na Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa UNDP/UNEP inaandaa Kongamano la siku moja kuhusu KILIMO BIASHARA katika KANDA YA ZIWA litakalofanyika Jijini Mwanza siku ya Jumamosi tarehe 27/8/2016 katika Ukumbi wa ROCK CITY MALL ghorofa ya tatu kuanzia saa mbili na nusu (2:30) asubuhi. Malelezo Zaidi bofya hapahttp://esrf.or.tz/ebrief/067.html Au soma vipeperushi hapa chini

No comments:

Post a Comment