Twitter Buzz

....

....

...

...

IMETOSHA!

IMETOSHA!

Featured post

KIJANA GOZBERT BWELE ALIVYOMPAGAWISHA MAKAMU WA RAIS WA HISPANIA MJINI NANSIO

Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...

Friday 26 April 2019

CODING SKILLS FOR FEMALE STUDENTS REACH MORE SCHOOLS IN DAR ES SALAM

Section of secondary school girls at National Library.

By Our Reporter
On its dedicated mission to empower girls and young women through technology in collaboration with Tanzania’s cellular network and mobile phone operator Tigo, a social enterprise Apps and Girls have celebrated in ICT Day by teaching over 240 secondary school girls in Dar es salaam region on Friday.

Wednesday 24 April 2019

SERIKALI YAWAJAZA MAPESA BILIONI 688 WAKANDARASI WA MRADI WA UMEME WA RUFIJI

Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango, Bw. Doto James akimkabidhi Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati, Dkt. Hamisi Mwingimvua, hundi kifani ya dola milioni 309.65 (sh. bilioni 688.65), ambazo ni malipo ya awali (Advance Payment) kwa Mkandarasi Kampuni ya Misri, inayojenga Mradi wa kuzalisha umeme wa Maporomoko ya maji ya Mto Rufiji, mkoani Pwani, Jijini Dar es Salaam. (Picha na Eva Valerian-Wizara ya Fedha na Mipango)


Na Benny Mwaipaja, WFM, Dar es Salaam
Ni tukio la kihistoria ambapo leo, Aprili 24, 2019,  Serikali ya Tanzania, imetoa  dola za Marekani milioni 309.65, sawa na takriban shilingi bilioni 688.65, fedha zake za ndani,  kama malipo ya awali kwa Mkandarasi - Arab Contractors ya Misri, wanaojenga mradi wa kuzalisha umeme unaotokana na maporomoko ya maji ya Mto Rufiji, mkoani Pwani.