Twitter Buzz

....

....

...

...

IMETOSHA!

IMETOSHA!

Featured post

KIJANA GOZBERT BWELE ALIVYOMPAGAWISHA MAKAMU WA RAIS WA HISPANIA MJINI NANSIO

Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...

Sunday 31 May 2015

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AZINDUA CHUO KIKUU KISHIRIKI CHA MARIAN BAGAMOYO

B2
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati wa hafla ya uzinduzi wa Chuo Kikuu Kishiriki cha Marian mjini Bagamoyo,leo Mei 31, 2015. Picha na OMR.

STARTIMES KUANZA KUONYESHA MICHUANO YA KOMBE LA DUNIA U-20


Na Dotto Mwaibale

WAPENZI  wa soka nchini sasa watafaidi kwa kutazama michuano ya kombe la dunia chini ya miaka 20 mwaka 2015 moja wa moja kwenye luninga zao kupitia ving’amuzi vya StarTimes pekee.

PROFESA MWANDOSYA KUTANGAZA NIA YA URAIS JUMATATU MJINI MBEYA

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, (Kazi Maalum), Profesa Mark Mwandosya.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, (Kazi Maalum), Profesa Mark Mwandosya, anatarajia kutangaza nia ya kugombea urais Juni Mosi na kuchukua fomu Juni tatu mwaka huu.

LIPUMBA ASEMA, VYOMBO VYA DOLA VINASHIRIKI USHIRIKINA

Profesa Ibrahim Lipumba

Na Robert Kakwesi
Dar es Salaam. Mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba amesema baadhi ya watumishi wa vyombo vya dola wanashiriki au kuamini ushirikina na ndiyo maana wanaowafanyia ukatili watu wenye ulemavu wa ngozi (albino) hawakamatwi.

AFRIKA KUSINI ILILIPIA KOMBE LA DUNIA 2010

Waafrika Kusini wakishangilia kombe la dunia mwaka 2010
Magazeti ya Afrika Kusini yanaripoti kuwa nchi hiyo ililipa dola milioni 10 kwa shirika la kandanda linaloongozwa na Jack Warner - mmoja kati ya maafisa wa FIFA wanaotajwa katika tuhuma za rushwa.

UCHAGUZI MKUU BURUNDI WAFAA KUAHIRISHWA

Rais Nkurunzinza hakuhudhuria mkutano wa viongozi wa Afrika Mashariki
Kiti cha Rais Pierre Nkurunziza kikiwa wazi katika kikao cha Dar es Salaam leo hii.
Viongozi wa Afrika Mashariki wametoa wito kuwa uchaguzi wa Burundi uakhirishwe kwa angalau wiki sita na ghasia zimalizike.

ALIYE MSAFI AWE WA KWANZA KUMPIGA MAWE LOWASSA

Mheshimiwa Lowassa akiwa kwenye Kanisa la SCOAN huku Nabii T.B. Joshua akihubiri. Hii ilikuwa Jumapili, Juni 12, 2011
Hii ilikuwa Juni 12, 2011 kama alivyokuwa akionekana ndani ya luninga ya emmanuel.tv

Na Daniel Mbega
MENGI yamesemwa kuhusu kada wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Edward Ngoyayi Lowassa, Mbunge wa Monduli, tangu kashfa ya Richmond/Dowans ilipoibuliwa bungeni.
Yanaendelea kusemwa kuhusu siri ya utajiri wake na wapi anakopata fedha anazozimwaga kwenye harambee mbalimbali. Wanasema anataka kununua urais.

WATU 29 WAUAWA MSIKITINI NIGERIA


Watu 29 wameuawa kati mji mkuu wa jimbo la Borno Maiduguri Kaskazini Mashariki mwa Nigeria baada ya mlipuaji wa kujitoa mhanga kujilipua ndani ya msikiti.

VIJANA WA KAWE WASHIRIKI JOGGING

  • Jogging zawaweka wananchi wa Kawe pamoja
  • Watumia mazoezi kama njia ya kupinga matumizi ya madawa ya kulevya
  • Kuhamasisha vijana wajiandikishe kwenye daftari la kudumu la wapiga kura
  • Makundi zaidi ya 20 yashiriki.
 Vijana wa Kawe wakishiriki Jogging.

MWANAMFALME WA UINGEREZA AIKASHFU FIFA


Mwana wa mfalme wa Uingereza, Prince William ametoa wito kwa shirikisho la soka duniani FIFA kuweka maslahi ya soka mbele ya matamanio ya kibinafsi.

CHINA YAIAMBIA MAREKANI ITAENDELEA KUJENGA BAHARINI

Naibu Kamanda wa wanamaji wa China amemuambia waziri wa usalama wa Marekani kuwa China haitasitisha mradi wake Baharini.
Mmoja wa makamanda wa ngazi za juu katika jeshi la China ametetea hatua ya nchi hiyo za kuokoa ardhi kutoka baharini katika maeneo yanayozozaniwa kusini mwa china.

NKURUNZIZA AGOMA KUHUDHURIA MKUTANO TANZANIA

Rais Pierre Nkurunziza
Msemaji wa rais wa Burundi amesema kuwa rais wa nchi hiyo Pierre Nkurunziza hatahudhuria mkutano wa viongozi wa kikanda ambao utaangazia mzozo ulio nchini mwake.

WACHIMBAJI WADOGO WACHANGAMKIA MIKOPO NSSF

Na Hastin Liumba, Nzega
BAADHI ya wachimbaji wadogo wa dhahabu wilayani Nzega mkoani Tabora wamejiandaa kujiunga  na Shirika la Taifa la Hifadhi ya jamii(NSSF) baada ya kupatiwa mafunzo.

KAMPUNI YA UCHIMBAJI MADINI YAIMARISHA ULINZI KIJIJINI

Haya ni machimbo ya dhahabu ya Nsungwa mkoani Tabora.

Na Hastin Liumba, Nzega
KAMPUNI  ya uchimbaji dhahabu ya Ilalo Gold Mining iliyopo Kijiji cha Ilalo, Kata ya Igusule wilayani Nzega mkoani Tabora imesema itashirikiana na wananchi kuimarisha ulinzi na usalama.

JAMII YAASWA KUTODHARAU SEKONDARI ZA KATA


Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiongozana na Mhandisi wa Wilaya ya Uyui Eng. Stephen Nyanda kukagua maabara ya shule ya sekondari ya Kata ya Ndono, Wilaya ya Uyui mkoani Tabora. Katika mpango wa Serikali wa Matokeo Makubwa Sasa Wilaya ya Uyui imekamilisha maabara katika shule za kata tano na zingine sita kukamilishwa mwaka ujao wa fedha. Picha na Mpiga picha wetu.
Na Hastin Liumba, Uyui
JAMII wilayani Uyui mkoani Tabora imeaswa kutodharau na kubeza shule za sekondari za kata kwani shule hizo bado ni mkombozi kwa watanzania na serikali haikosea kuanzishwa kwake.

TUSKER YAITANGAZA “NEW JAMBO BAA” MSHINDI WA TATU WA SHINDANO LA “FANYAKWELI KIWANJANI”

Displaying 4.jpg
Tarehe 30 Mei 2015, Dar es Salaam, Wadhamini wa shindano la Fanya Kweli Kiwanjani “Tusker Lager” mali ya Kampuni ya bia ya Serengeti wamemuibua mshindi wa tatu wa shindano hilo siku ya jumamosi baada ya mtanange mkali wa kuitafuta baa ya wiki uliofanywa na wadhamini hao wiki iliyopita.

MATOKEO YA AJABU: ORODHA NNE ZAIVURUGA SIMBA, SAID SUED ‘SCUD’ AIBOMOA MSIMBAZI

Kikosi cha Simba cha mwaka 1991. Kutoka kushoto waliosimama: Mackenzie Ramadhan, Issa Kihange, Bakari Idd, Hassan Banda, Jamhuri Kihwelo 'Julio', Itutu Kigi 'Road Master', Zamoyoni Mogella 'Golden Boy', Twaha Hamidu, Mavumbi Omari, ...., Meneja Abdul Yussuf Hazali.
Waliochuchumaa: Ayoub Mzee 'Giant Killer', Hassan Affif, Method Mogella 'Fundi', Ally Machella, Raphael Paul 'RP', Khalfan Ngassa, Idd Pazi 'Father' na mmoja wa wanachama wa klabu hiyo. (Nisahihisheni kama nimekosea).

FORMER RPF UGANDAN ALLY APPEALS TO KAGAME FOR HELP

 Ms Modesta Nyabuhara in front of her house that was used a
Ms Modesta Nyabuhara in front of her house that was used as armoury for the Rwandan rebels during the 1991-1994 war. PHOTO BY ROBERT MUHEREZA 
By  ROBERT MUHEREZA
KABALE- An old widow in Kabale District who offered her home to be used as an armoury (store for guns) to the Rwanda Patriotic Front (RPF) during the 1990-94 liberation war has appealed to the Rwandan government to help her go for a heart operation in India as advised by doctors.

COLONEL BESIGYE CALLS FOR INTERIM GOVERNMENT IN 2016

Dr Kizza Besigye speaks during a press conference at
Dr Kizza Besigye speaks during a press conference at his home in Kasangati on Friday. PHOTO BY ABUBAKER LUBOWA.  
By FREDERIC MUSISI & ERIASA M. SSERUNJOGI
KASANGATI- Former Opposition Forum for Democratic Change (FDC) president Kizza Besigye has said Uganda must have a transitional government to set the rules for the future after President Museveni leaves power.

LUPITA NYONG'O AT HER YOUNGER SISTER'S WEDDING

Lupita Nyong’o on the red carpet ahead of the opening ceremony of the 68th Cannes Film Festival in Cannes, southeastern France, on May 13, 2015. PHOTO | VALERY HACHE
Lupita Nyong’o on the red carpet ahead of the opening ceremony of the 68th Cannes Film Festival in Cannes, southeastern France, on May 13, 2015. PHOTO | VALERY HACHE |  AFP
By MACHARIA MWANGI
Oscar-winning star Lupita Nyong’o on Saturday attended the wedding of her younger sister Esperanza Nyong’o at the exclusive Great Rift Valley Lodge in Naivasha.

LIPUMBA AJITOSA URAIS KWA MARA YA TANO

Profesa Ibrahimu Lipumba akihutubia moja ya mikutano 
Na Robert Kakwesi
Tabora. Mbio za urais zimezidi kupamba moto kwa upande wa upinzani baada ya Mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba kutangaza nia ya kugombea nafasi hiyo ya juu kisiasa nchini, akisema ana sifa zote lakini hatakuwa na kinyongo iwapo hatapitishwa na umoja wa vyama vya upinzani.

UJUMBE KATIKA MUZIKI: KWELI DUNIA MSONGAMANO KAMA ANAVYOSEMA SUPREME NDALA KASHEBA!

Supreme Freddie Ndala Kasheba akiwa na swahiba wake enzi hizo Kikumbi Mwanza Pango 'King Kiki'.
Sikiliza kibao cha 'Dunia Msongamano'

Na Daniel Mbega
HABARI za leo wanabaraza wenzangu popote pale mlipo. Natumaini kila mmoja wetu yu bukheri wa afya kwa uwezo wa Jehova.

Saturday 30 May 2015

FRESH INVESTIGATIONS ORDERED ON SMUGGLED WILDLIFE

Minister for the docket, Mr Lazaro Nyalandu.

BY POLYCARP MACHIRA
The National Assembly has ordered new investigations on the circumstances that surrounded the whereabouts of 116 live wild animals and 16 birds alleged to have been smuggled out of the country to Qatar in November 2010.

NEC YAKAMILISHA MAANDALIZI UBORESHWAJI WA DAFTARI LA WAPIGA KURA KWA MIKOA 4

Maandalizi ugawaji wa mashine kwa ajili ya kuandikisha wanchi katika daftari la wapiga kura kwa Kanda ya 5 Tano kati ya Sita yamekamilika leo Mei 29, 2015 zaidi ya Biometric Voter Registration (BVR) zipatazo 1492 zinaanza kusambazwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Kuanzia mapema Alfajiri Kanda ya Tano ni Mikoa ya Mara, Arusha, Manyara na Kilimanjaro.

PPF YANYAKUA TUZO YA UBORA WA HUDUMA YA ISO KIMATAIFA

 Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, William Erio (katikati), Mkurugenzi wa Utumishi na Utawala wa Julius Mganga (kushoto) na Mkurugenzi wa Udhibiti Majanga (risk management), Ufoo Swai wakionyesha cheti cha ubora wa utoaji huduma kimataifa kwa wananchi (ISO) wakati wa mkutano na waandishi wa habari makao makuu ya Mfuko huo jijini Dar es Salaam leo Ijumaa Mei 29, 2015.

CCM WASHINDA NAFASI YA UENYEKITI MJI MDOGO WA HIMO

Msimamizi wa Uchaguzi na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Moshi, Fulgence Mponji akizungumza wakati wa kutangaza matokeo katika uchaguzi wa kumpata Mwenyekiti wa mji mdogo wa Himo. (Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii, Kanda ya Kaskazini).

SERIKALI YAKARIBISHA WAWEKEZAJI BINAFSI KWENYE SEKTA YA UCHUKUZI

uc1
Waziri wa Uchukuzi Mhe. Samuel Sitta akiwasilisha bajeti ya wizara yake kwa mwaka 2015/2016 bungeni mjini Dodoma leo.

EDWARD LOWASSA ATANGAZA RASMI KUWANIA URAIS, JIJI LA ARUSHA LAFURIKA

 Mtangaza nia ya kuwania Urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Monduli, Mh. Edward Lowassa akiwapungia mkono maelfu ya wananchi waliofurika kwa wingi kwenye Uwanja wa michezo wa Sheikh Amri Abeid,jijini Arusha jioni ya leo, wakati wa kutangaza nia yake hiyo ya kuwania Urais wa awamu ya tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. SOURCE:http://issamichuzi.blogspot.com/

TETEMEKO LA ARDHI LATIKISA JAPAN


Tetemeko kubwa la ardhi limetikisa mji wa Tokyo Japan.

MAJESHI YAZIMA JARIBIO LA BOKO HARAM

Wanajeshi wazima shambulizi la Boko Haram Maiduguri
Jeshi la Nigeria limezima mashambulizi ya wapiganaji wa kiislamu wa Boko Haram katika mji wa Maiduguri ulioko Kaskazini Mashariki mwa taifa hilo.

OFISA WA TUME YA UCHAGUZI ATOROKA BURUNDI

Afisa mmoja tume hiyo ya uchaguzi ameiambia redio moja ya Ufaransa kuwa Spes Caritas Ndironkeye aliabiri ndege Ijumaa.
Nia ya rais wa Burundi Pierre Nkurunziza kuwania muhula wa tatu imepata pigo baada ya ripoti kutoka nchini humo kudai kuwa mwenyekiti msaidizi wa tume ya uchaguzi ametoroka.

ALIYEPANDIKIZWA USO AKUTANA NA DADA'AKE MAREHEMU

Norris kabla ya operesheni
Mwanamke ambaye kakake alikufa katika ajali mbaya ya barabarani amekutana na mtu aliyepewa uso wake.

MWANDISHI WA HABARI MWANDAMIZI ATANGAZA NIA YA KUGOMBEA UDIWANI KWA TIKETI YA CCM SONGEA

Mwandishi wa habari mwandamizi Bi. Celesencia Kapinga akisisitiza jambo mbele ya waandishi wa habari ambao hawapo pichani wakata alipotangaza nia ya kugombea udiwani Kata ya Ndilima Litembo, Wilaya ya Songea mkoani Ruvuma kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM).

KAMATI YA UTENDAJI YA COASTAL UNION YAKUTANA KUJADILI USAJILI

NA MWANDISHI WETU,TANGAKikao cha Kamati ya Utendaji cha Coastal Union ambacho kimeketi katikati ya wiki hii chini ya Makamu Mwenyekiti wa Coastal Union, Steven Mguto kimeazimia kuwaacha baadhi ya wachezaji ambao muda wao ulikuwa umemalizika huku wengine wakiongezewa mikataba ya kuendelea kuitumikia timu hiyo kwa msimu ujao.

KUMBUKUMBU ZANGU: PAMBA FC ‘WANA KAWEKAMO TOUT PUISANT LINDANDA’ NDICHO KILIKUWA CHUO CHA SOKA TANZANIA

Kikosi cha Pamba cha miaka ya 1980. Nawatambua baadhi kwenye picha (nisahihisheni). Waliosimama kutoka kushoto: Madata Lubigisa, Rajabu Musoma, Beya Simba 'Nissan Patrol', Nteze John, Kitwana Selemani, Philemon 'Fumo' Ferdinand Felician, Paschal Mayala na Paul Rwechungura. 
Walioketi kutoka kushoto: George Gole, Khalfan Ngassa, Ally Bushiri, Alphonce Modest Pambamotosapi, Mao Mkami 'Ball Dancer', Selehe Mohammed, Hamis Nyembo na Nico Bambaga 'Machine'. Wachezaji wanne katika kikosi hiki - Musoma, Nteze, Ngassa na Modest - waliichezea Simba na wawili kati yao - Fumo na Bambaga - walichukuliwa na Yanga.

MAREKANI KUFANYA UCHUNGUZI WA KIMETA

Bakteria wa Kimeta
Idara ya ulinzi nchini Marekani imeamrisha kufanyika uchunguzi mkubwa kuhusu jinsi mahabara zake zinashughulikia kimeta, baada ya kufichua kuwa jeshi lake lilituma kimakosa sampuli za bakteria ya kimeta zilizo hai, kwenda vituo vya utafiti nchini marekani na pia nchi za ng'ambo.

CHINA YATAKIWA KUSITISHA UJENZI BAHARINI

Uwanja wa ndege unaojengwa na China katika visiwa vya Spatry
Marekani imetaka kuwepo usitishwaji wa ujenzi wa miradi kwenye maeneo yanayozozaniwa katika bahari ya kusini mwa China.

MALORI YA TANZANIA YASABABISHA AJALI 227 NCHINI ZAMBIA

Ripoti hiyo ilitaja sababu kubwa ya ajali hizo kuwa ni mwendo kasi, vizuizi barabarani, uchovu wa safari ambao umekuwa ukisababisha baadhi ya madereva kuegesha malori yao vibaya na kusababisha madhara kwa watumiaji wengine wa barabara. 
Na Goodluck Eliona, Mwananchi
Dar es Salaam. Wakati Serikali na wadau wa usafiri wakiendelea kutafuta mwarobaini wa ajali nchini, imeelezwa kuwa malori ya Tanzania yamesababisha ajali 227 nchini Zambia kati ya Januari na Mei.

KIVUMBI CHAANZA CCM, WATANO KUTANGAZA NIA NDANI YA SIKU TATU


Na Boniface Meena, Mwananchi
Dar es Salaam. Ni siku tatu za hekaheka na kujenga hoja za kujinadi kuanzia kesho wakati makada wa CCM watakapotangaza kwenye mikutano ya hadhara sababu zilizowasukumu kuomba kuteuliwa na chama hicho kugombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

MRATIBU MKAZI WA UN NCHINI NA WAZIRI MAMBO YA NDANI YA NCHI WATEMBELEA ENEO LA MAPOKEZI YA MUDA KWA WAKIMBIZI MJINI KIGOMA

IMG_0495
Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa Shirika la Maendeleo (UNDP), Alvaro Rodriguez (wa pili kushoto) akiongozana na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mh. Mathias Chikawe (wa tatu kushot0) pamoja na Mkurugenzi wa Idara ya huduma za Wakimbizi wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Harrison Mseke (katikati), Mwakilishi wa Shirika la Umoja wa Mtaifa la kuhudumia Wakimbizi (UNHCR), Joyce Mends-Cole (wa pili kulia), Mkuu wa ofisi ya Shirika la Umoja wa Mtaifa la Kuhudumia Wakimbizi (UNHCR) Kasulu, Kigoma, Amah Assiama-Hillgartner (kulia) mara tu baada ya kuwasili kwenye viwanja vya Lake Tanganyika mjini Kigoma, eneo ambalo Wakimbizi wanapokelewa na kupewa huduma ya kwanza kabla ya kuelekea katika eneo maalum ya Nyarugusu, wilayani Kasulu mkoani Kigoma.(Picha zote na Zainul Mzige wa modewjiblog)

MATOKEO YA AJABU: SIKU SIMBA ILIPOIGEUZA YANGA 'MASALO' 1977

Kikosi cha Simba cha mwaka 1977 kilichopeleka maafa Jangwani.

Na Daniel Mbega
KATIKA mchezo wa soka kushinda ama kushindwa ni mambo ya kawaida, lakini vipo vipigo ambavyo timu hupata kiasi cha kujiuliza mara kumi kumi, kulikoni? Kama kuna kipigo ambacho kitabaki katika kumbukumbu za Yanga milele na milele ni kile cha mwaka 1977 cha magoli 6-0 kutoka kwa watani wake wa jadi, Simba, kwenye mchezo wa Ligi ya Taifa.

Friday 29 May 2015

WATOTO 250,000 KUFA NJAA SUDAN KUSINI


Mshirikishi mkuu wa shirika la Umoja wa mataifa nchini Sudan Kusini, Toby Lanzer, amesema kuwa takriban watoto laki mbili u nusu wamo katika hatari ya kufa katika kipindi cha miezi kadhaa ijayo iwapo mashirika ya utoaji misaada, hayatafikisha misaada kwa watu walio na mahitaji.

MLIPUAJI WA KUJITOA MUHANGA AUA WANNE SAUDIA


Watu wanne wameuwawa baada mlipuaji wa kujitolea mhanga kujilipua nje ya msikiti mmoja wa waislamu washia nchini Saudi Arabia.

MYANMAR YAWAOKOA WAHAMIAJI 700

Myanmar haiwatambui watu wa jamii ya Rohingya kama raia wake
Myanmar imesema kuwa jwanamaji wake wamewaokoa takriban wahamiaji 700 waliokuwa wametelekezwa baharini na walanguzi wa bianadamu.

VIJANA 85 WENYE ITIKADI KALI WAJISALIMISHA KENYA

Serikali ilitoa msamaha kwa wale wote waliojiunga na Al Shabab baada ya kuuawa kwa wanafunzi 150 mjini Garissa
Takriban vijana 85 waliokuwa wamepokea mafunzo yenye itikadi kali wamejisalimisha kwa polisi nchini Kenya.

BUHARI AAPISHWA KUWA RAIS MPYA WA NIGERIA

Rais mstaafu Goodluck Jonathan akimkabidhi zawadi rais mteule, Muhamadu Buhari
Mshindi wa uchaguzi mkuu nchini Nigeria Muhamadu Buhari ameapishwa kama rais mpya wa nchi hiyo.

UCHAGUZI WA FIFA 2015 UNAENDELEA HIVI SASA LICHA YA KASHFA YA RUSHWA

Blatter anakabiliana na mpinzani wake mkuu mwanamfalme Hussein kutoka Jordan
Wajumbe wa FIFA walioko nchini Uswizi wameanza kumpigia kura rais mpya wa shirikisho hilo la soka duniani huku shirikisho hilo likikabiliwa na shutuma za ufisadi.

UYUI WARIDHIA KUGAWA JIMBO LA TABORA KASKAZINI


Na Hastin Liumba, UyuiBARAZAla madiwani wilaya ya Tabora (Uyui)mkoani Tabora kwa kauli moja wameridhia na kupendekeza kugawa halmashauri ya wilaya ya Tabora na jimbo la Tabora Kaskazini ili lipatikane jimbo la Ilolangulu.