Twitter Buzz

....

....

...

...

IMETOSHA!

IMETOSHA!

Featured post

KIJANA GOZBERT BWELE ALIVYOMPAGAWISHA MAKAMU WA RAIS WA HISPANIA MJINI NANSIO

Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...

Wednesday 27 May 2015

USAIN BOLT ASHINDA MBIO ZA META 200

Mwanariadha wa Jamaica, Usain Bolt
Mwanariadha raia wa Jamaica Usain Bolt ameshinda kwa urahis katika shindano lake la kwanza mwaka huu huko barani Ulaya japokuwa ameshindwa kuvunja rekodi yake ya sekunde 20, kwenye mbio za meta 200 za Golden Spike huko Ostrava Jamhuri ya Czech.

Katika shindano hilo lililofanyika jana Bolt alitumia sekunde 20.13 ikiwa ya rekodi yake ya dunia ya sekunde 19.19 akimbwaga mmarekani Isiah Young "huwezi ridhika kama sivunji sekunde 20," alisema Bolt ambaye anajiandaa kwa mashindano ya dunia yatakayofanyika Beijing mwezi August. 
Naye Asafa Powell ameshinda katika mbio za meta 100 akitumia sekunde 10.04.
CREDIT: BBC

No comments:

Post a Comment