Twitter Buzz

....

....

...

...

IMETOSHA!

IMETOSHA!

Featured post

KIJANA GOZBERT BWELE ALIVYOMPAGAWISHA MAKAMU WA RAIS WA HISPANIA MJINI NANSIO

Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...

Showing posts with label SAIKOLOJIA. Show all posts
Showing posts with label SAIKOLOJIA. Show all posts

Tuesday, 8 September 2015

UMEAMBUKIZWA NOMOPHOBIA? SOMA UTAFITI HUU


Utafiti wa hivi karibuni uliowachunguza wanafunzi 1000 Korea Kusini umebaini kuwa asilimia 72 ya watoto wanapata simu wakifikia umri wa miaka 11 au 12.

Sunday, 23 August 2015

Friday, 21 August 2015

MBINU 15 ZA KUPATA UJASIRI NA KUFANIKIWA KATIKA MAISHA

 Image result for jinsi ya kupata mafanikio katika maisha
1. Kutoshindana na waliofanikiwa.

Daima mtu ahakikishe anawafanya waliofanikiwa wajione wapo juu. Kama mtu anataka kuwashangaza basi asionyeshe ujuzi wake wote.

Thursday, 20 August 2015

KUFANYA KAZI SAA NYINGI KUNA MADHARA!


Utafiti umeeleza kuwa Watu wanaofanya kazi kwa saa nyingi wako hatarini kupata kiharusi,utafiti huo ulifanywa kwa zaidi ya watu laki tano.

Sunday, 19 January 2014

FOR THE MOST WONDERFUL LOVE OF YOUR LIFE!



 Opening the door to my “home” is like opening my heart to all the happiness my world has ever known.  Waiting inside is an invitation to the warmest wishes and the highest hopes anyone will ever know.  Love lives in its fullest and most beautiful form in the space that surrounds us.  When I’m with you, I’m in a place that embraces me with open arms and keeps me close forever.

Monday, 18 November 2013

SIRI 100 USIZOZIJUA KATIKA MAPENZI

Ndugu zangu,
Wasomaji wangu wengi hawakukipata kitabu changu hiki kilipotoka kwa mara ya kwanza mwaka 2005. Kwa hiyo, wengi wao wamekuwa wakiniomba nikichape tena. Hata wale waliobahatika kukipata wamepoteza nakala zao kwa sababu kila waliyemwazima asome, alitoweka nacho.
Sasa basi, naomba mnisaidie jambo moja, yeyote anayekihitaji, au kama kuna rafiki yake, ndugu yake, jamaa yake anakihitaji, basi naomba anijulishe kupitia barua-pepe brotherdanny5@gmail.com.
Lengo ni kutaka kujua mahitaji ni makubwa kiasi gani ili nikakichape tena.
Nitashukuru kwa ushirikiano wenu.

Ndugu yenu,
Brother Danny

Wednesday, 16 October 2013

KWANINI WATU WANAKUWA WATUMWA WA NGONO?




Na Brother Danny
JOHN alijiingiza katika tabia za utumwa wa ngono wa aina tatu: 1) kupiga punyeto kila wakati, 2) kutazama picha za ngono, na 3) majumba ya kufanyia massage. Alikuwa pia ni mlevi kupindukia. Kutokana na ushauri aliopewa na Joe Zychick, mtaalamu wa mambo ya saikolojia wa Marekani, alijifunza kwamba haijalishi kama alikuwa akinywa bia, mvinyo au pombe kali, iwe alikunywa nyumbani, baa, wakati wa wikiendi au wakati wowote. Alitakiwa kupambana na kuyashinda majaribu yote ya ulevi.

Tuesday, 15 October 2013

UTUMWA WA NGONO NI NINI?



Na Brother Danny

WATU wengi ni watumwa wa ngono bila wenyewe kujua. Lakini ubongo una kazi gani katika utumwa wa ngono? Ni njia gani zilizopo katika kupambana na uraibu na kurejea katika hali ya kawaida pamoja na kujizatiti na kujihakikishia tena kuwa na maisha ya mapenzi yaliyo bora? Kitu kilicho bora, ninaamini ni kwenda hatua kwa hatua katika kulielezea tatizo hili.

Monday, 14 October 2013

KWANINI UNAWAZA NGONO TU, KILA WAKATI


Na Brother Danny

IWE ni utumwa au ni shurutisho, lakini baadhi ya watu hawawezi kuacha kufanya mapenzi na mara nyingi huwa wanatambua kwamba wana matatizo mara baada ya kitendo chenyewe, na hapo ndipo Waswahili husema; "Kijuto msuto kisicho kito!" Hujutia kitendo hicho wakati wameshakifanya.

Sunday, 13 October 2013

WEWE NI MTUMWA WA NGONO?!

Picha kwa hisani ya enrichmentjournal.ag.org


Ngono: Ni neno linalozungumzia kwa mapana mambo mengi yakiwemo kutazama picha za ngono, kujichua (masturbation) na mambo mengineyo. Lakini kwa baadhi ya Waamerika, wingi wa ngono katika utamaduni wao umekuwa mtego, ambao ni mgumu kuukwepa.

KUPOTEZA BIKIRA





Picha ya mtandaoni

VIJANA wenzangu, natumaini mnaendelea vyema na shughuli zenu za kila siku katika ujenzi wa taifa na jamii, au siyo? Kama ni mwanafunzi, zingatia zaidi masomo, kama ni kibarua kama mimi, zingatia wajibu wako kazini, kama ni mkulima kama wale ndugu zangu wa kule Kibaigwa, wazingatie ushauri wa wataalamu kwa kupanda mbegu bora zinazostahimili ukame na kutoa mazao mengi.

UZAZI WA MPANGO SAWA, LAKINI ...


 *Mwanamke mtumiaji aliyeolewa anaua watoto 12 kila mwaka bila kujielewa

Na Daniel Mbega

KUPANGA uzazi kwa njia za kisasa ni kuamua juu ya mpishano wa miaka ya kuzaliwa watoto na juu ya idadi ya watoto ambo familia inapenda kuwazaa, ambapo njia hizo hutumia dawa (kemikali) zilizomo katika vidonge vya majira (pills), vitanzi (loops), vipandikizi (norplant implant), sindano ya Depo Provera, lunelle, emergency contraceptives, quinacrine, povu, mafuta, vidonge viyeyukavyo ukeni, kondomu na kutoa mimba.

Saturday, 12 October 2013

DEDICATION TO YOUNG PEOPLE


PHOTO: circlesnetwork.org.uk/

Youth is a time of hope. Also of uncertainty. But for a person who is young and healthy, uncertainty just means a challenge. It is important to be positive. First of all about yourself. But also about your family and your people. As a unique person and each human being are unique, you have enormous potential. Because you have so much potential, people may sometimes feel negatively challenged by that potential and try to undermine it.