Twitter Buzz

....

....

...

...

IMETOSHA!

IMETOSHA!

Featured post

KIJANA GOZBERT BWELE ALIVYOMPAGAWISHA MAKAMU WA RAIS WA HISPANIA MJINI NANSIO

Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...

Showing posts with label BIASHARA NA UCHUMI. Show all posts
Showing posts with label BIASHARA NA UCHUMI. Show all posts

Saturday, 23 March 2019

WATU ELFU 15 WAJINYAKULIA ZAWADI KATIKA PROMOSHENI YA COKE STUDIO KUNYWA NA USHINDE

Meneja Mauzo wa Kampuni ya vinywaji Baridi ya Bonite Bottlers mkoa wa Arusha, Boniface Mwase akizungumza wakati wa kutangaza washindi wa Promosheni ya Coke Studio kunywa na ushinde walijinyakulia Televeisheni. 

Wednesday, 20 March 2019

Thursday, 26 January 2017

BENKI YA DUNIA YAAHIDI KUSHIRIKIANA NA TANZANIA KUKUZA UCHUMI

Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Philip Mpango (Mb) (wa Pili kutoka kulia) akisisitiza jambo wakati wa alipokutana na kufanya mazungumzo na Makamu wa Rais wa Benki ya Dunia anayeshughulikia ukanda wa Afrika Bw. Makhtar Diop, makao makuu ya Wizara ya Fedha na Mipango, Jijini Dar salaam.

Friday, 20 January 2017

DENMARK KUHAMASISHA WAWEKEZAJI KUJA KUWEKEZA TANZANIA


Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Philip Mpango (wa kwanza kulia), akisisitiza jambo wakati wa mkutano wake na ujumbe kutoka nchini Denmark, ukiongozwa na Waziri wa nchi anayeshughulikia Sera, Bw. Martin Hermann, walipokutana Makao Makuu ya Wizara ya Fedha na Mipango Jijini Dar es salaam.

Thursday, 19 January 2017

WAFANYABIASHARA WAILALAMIKIA HALMASHAURI YA JIJI LA ARUSHA ,WAPINGA NOTISI WALIYOPEWA

Image result for WAFANYABIASHARA WA MADUKA ARUSHA

Na Woinde Shizza, Arusha


WAFANYABIASHARA wa maduka jijini Arusha,wameilalamikia halmashauri hiyo ,wakipinga notisi ya miezi mitatu waliopewa ,inayowataka kuondoka katika maduka hayo,ifikapo Machi 30,mwaka huu, kufuatia maduka yao kudaiwa kumilikiwa ma madalali na hivyo kuikosesha  mapato halmashauri hiyo.

Wednesday, 11 January 2017

IMF-TANZANIA MACROECONOMIC PERFORMANCE REMAINS STRONG

On January 9, 2017, the Executive Board of the International Monetary Fund (IMF) completed the fifth review of Tanzania’s economic performance under the program supported by a three-year Policy Support Instrument (PSI). The Board’s decision was taken on a lapse of time basis.

Friday, 6 January 2017

WANANCHI WASAIDIA KUZIMA MOTO ULIOTOKEA KITUO CHA DATA CHA TIGO MOROGORO

Afisa mkuu wa ufundi na miundombinu kutoka Tigo, Jerome Albou, akimuonyesha mbunge wa mjimbo la Morogoro mjini, Aziz Abood juzi,mtambo wa 4G mkoani Morogoro, mara baada ya kukabidhi vyeti kwa wananchi kata ya Mji Mwema waliosaidia kuokoa mtambo huo usiteketee na moto mwishoni mwa mwaka jana.

Tuesday, 3 January 2017

CHAWABATA CHAPINGA MANISPAA YA ILALA KUKAGUA LESENI ZA WAUZA VILEO USIKU JIJINI DAR

 Mwenyekiti wa Chama cha Wahudumu wa Baa Tanzania (Chawabata), Ali Hussein (kulia), akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam jana, wakati akipinga zoezi linalofanywa na Manispaa ya Ilala la kukagua leseni za wauza vileo usiku. Kushoto ni Katibu wa chama hicho, Boniface Lameck.

Thursday, 22 December 2016

JUMIA TRAVEL YAZINDUA KAMPENI YA PUNGUZO LA BEI KILA JUMATANO


KUFUATIA mafanikio makubwa ya kampeni ya ‘Black Friday’ iliyovunja rekodi ya mauzo kwa zaidi ya 30% kwa siku, Jumia Travel imerudi tena na ofa kabambe inayokwenda kwa jina la ‘Travel Wednesday’ itakayokuwa ikifanyika kila siku ya Jumatano kupitia kwenye tovuti yake. Promosheni hii ambayo pia itajulikana kama “Dream Deals” inajumuisha punguzo kubwa la bei kwenye hoteli za hadhi ya juu ambazo zinazopendwa na watu wengi ikiwa ni muendelezo wa kuwapatia wateja machaguo mengi zaidi ya sehemu za kupumzika hususani kipindi hiki cha msimu wa sikukuu.

KAMPUNI YA SIMU YA TIGO YATAMBULISHA ZANA MPYA NA KUBORESHA DHANA YA TIGO PESA KWA WATUMIAJI WA SMARTPHONE

  Mkuu wa Huduma za Kidijitali wa Tigo, Tawonga Mpore (kushoto), akizungumza Dar es Salaam leo, kuhusu kampuni hiyo kutambulisha zana mpya ya simu na kuboresha zana ya Tigo Pesa kwa watumiaji wa Smartphone. Kulia ni Mtaalamu wa Mawasiliano kutoka Tigo, Suleiman Asilia.

Monday, 19 December 2016

AFDB YAIPATIA TANZANIA MKOPO WA BILIONI 360 KWA AJILI YA KUIMARISHA TANESCO NA BENKI YA KILIMO NCHINI

Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango, Bw.  Doto James (kushoto) na Mwakilishi Mkazi wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) Dkt. Tonia Kandiero wakisaini mikataba miwili ya mikopo yenye masharti nafuu yenye thamani ya shilingi Bilioni 360 kwa ajili ya kuongeza Ufanisi wa Tanesco na kuiongezea mtaji Benki ya Maendeleo ya Wakulima nchini-TADB, Makao Makuu ya Wizara ya Fedha na Mipango, Jijini Dar es salaam.

MAKAMU WA RAIS AKUTANA NA VIONGOZI WA CHAMA CHA WAFANYABIASHARA WA CHINA JIJINI DAR E SALAAM

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Viongozi wa Chama Cha Wafanyabiashara wa China nchini Tanzania ambao walimtembelea ofisini kwake leo.
                                       .............................................................


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amewakaribisha wawekezaji kutoka nchini China kuja kuwekeza nchini katika maeneo mbalimbali ikiwemo uvuvi katika bahari,madini, utalii, ujenzi wa viwanda na miundombinu.
Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan ametoa kauli hiyo baada ya kukutana na kufanya mazungumzo na Watendaji Wakuu wa makampuni makubwa kutoka nchini China ambao walikuja hapa nchini kutafuta fursa za uwekezaji.

NYUMBA, GARI NA PIKIPIKI VINAUZWA BEI NI NAFUU SANA CHANGAMKIA FURSA HIYO

Mwonekano wa nyumba hiyo.

Thursday, 15 December 2016

TIGO YAZINDUA DUKA LA 'TEAM LEADERS' DEVIS CORNER TANDIKA TEMEKE JIJINI DAR ES SALAAM ILI KUKUZA UJASIRIAMALI

 Msimamizi wa Biashara wa Kampuni ya Simu Tigo Dar es Salaam na Zanzibar, Nderingo Materu (wa pili kushoto), akikata utepe kuashiria uzinduzi wa  duka dogo la Tigo Tandika Devis Corner leo.  Kutoka kulia ni Meneja Mauzo wa Tigo Wilaya ya Temeke, Fadhila Saidi, Mwendeshaji wa duka hilo, Khadija  Matambo na kushoto ni Meneja Huduma kwa Wateja wa kampuni hiyo, Isack Shoo.

Monday, 12 December 2016

SERIKALI KUPITIA UPYA KODI ZINAZOLETA KERO


Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Philip Mpango (Mb)


Benny Mwaipaja, WFM, Dar es salaam
WAZIRI wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip Mpango, amesema kuwa Serikali imeanza kuyafanyia kazi maoni na malalamiko ya wafanyabiashara na wawekezaji kwa ujumla kuhusu kodi zinazolalamikwa kwa lengo la kuhuisha ama kubadili kodi zinazoonekana kuwa ni kero.

Friday, 9 December 2016

MFUMUKO WA BEI WAONGEZEKA KUTOKA ASILIMIA 4.5 MWEZI OCTOBA MPAKA ASILIMIA 4.8 MWEZI NOVEMBA



Mkurugenzi wa Sensa na Takwimu za Jamii Epharaim Kwesigabo akiongea na wanahabari (hawapo pichani) kuhusu hali ya mfumuko wa bei kwa mwezi Novemba mwaka huu, kulia kwake ni Mtakwimu Bw. Muhidini Mtindo. (Picha na Benjamin Sawe-Maelezo).

Thursday, 1 December 2016

SERIKALI YASHAURI MAJINA YA WAHASIBU WEZI YAWEKWE HADHARANI

 Waziri wa Fedha, Dk. Philip Mpango (kulia), akikata utepe kwa niaba ya Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kuashiria kuzindua rasmi Kituo cha Taaluma ya Uhasibu (APC), kilichopo Bunju jijini Dar es Salaam leo. Kushoto ni Mwenyekiti wa  Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu (NBAA), Profesa Isaya Jairo na Mwenyekiti wa Bodi ya Mfuko wa GEPF, Joyce Shaidi.

SERIKALI KUFANYA MALIPO KWA MFUMO WA KIELEKRONIKI NCHINI



Na Benny Mwaipaja, WFM, Dar es salaam
Wizara ya Fedha na Mipango imekamilisha ujenzi wa mfumo wa malipo moja kwa moja kupitia akaunti za walipwaji katika mtandao wa malipo wa Benki Kuu ya Tanzania (Tanzania Interbank Settlement System – TISS), katika mkoa wa Morogoro, hatua inayolenga kuongeza ufanisi wa miamala mbalimbali inayofanywa na serikali.

MUUZA MITUMBA SOKO LA KARUME JIJINI DAR ES SALAAM AFUTIWA LESENI YA BIASHARA KWA KUMDHALILISHA MTEJA WAKE WA KIKE


 Diwani wa Kata ya Mchikichini, Joseph Ngowa (katikati), akihutubia wakati akizindua kampeni ya siku 16 ya kupinga ukatili wa kijinsia iliyoandaliwa na Shirika la Eguality for Growth (EfG), Dar es Salaam leo asubuhi. Kushoto ni Mwenyekiti wa Wafanyabiashara Wanawake katika Soko la Mchikichini, Betty Mtewele na kulia ni Ofisa Mtendaji wa Kata ya Mchikichini, Charles Kapongo.