Mnazi Mmoja primary pupils seen drinking water from a water dispenser constructed by Lions Club of Dar es Salaam - Mzizima through their school water program. On the right is technician Mr. Bakari and the water program coordinator, Mr Akash Chudasama. ALL PHOTOS/DOTTO MWAIBALE.
Twitter Buzz
....
...
IMETOSHA!
Featured post
KIJANA GOZBERT BWELE ALIVYOMPAGAWISHA MAKAMU WA RAIS WA HISPANIA MJINI NANSIO
Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...
Showing posts with label JAMII. Show all posts
Showing posts with label JAMII. Show all posts
Thursday, 27 February 2020
Monday, 30 January 2017
AFRICA GRADUATE UNIVERSITY CHAWATUNUKU PhD WANAOFANYA KAZI ZA JAMII NCHINI
UONGOZI WA BODABODA MKOANI MWANZA WAPONGEZA ZOEZI LA UKAGUZI WA POLISI
Binagi Media Group
Umoja wa waendesha bodaboda mkoani Mwanza umepongeza zoezi la ukaguzi wa vyombo hivyo linaloendeshwa na jeshi la polisi kikosi cha usalama barabarani.
Umoja wa waendesha bodaboda mkoani Mwanza umepongeza zoezi la ukaguzi wa vyombo hivyo linaloendeshwa na jeshi la polisi kikosi cha usalama barabarani.
Thursday, 26 January 2017
NAIBU WAZIRI ELIMU MHANDISI MANYANYA AFANYA ZIARA MKOANI SINGIDA NA KUHAMASISHA ELIMU NJE YA MFUMO RASMI YA WATU WAZIMA
Naibu Waziri Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe. Mhandisi Stella Manyanya akiwasili katika halmashauri ya Wilaya ya Singida ambapo alipokelewa na Mkuu wa Wilaya ya Singida Elias Tarimo na Mwenyekiti wa Halmashauri ya Singida Eliya Digha.
DOKTA NCHIMBI AHIMIZA KILIMO CHA MUHOGO ILI MKOA WA SINGIDA UWE MZALISHAJI MKUBWA WA ZAO HILO NCHINI
Mkuu wa Mkoa wa Singida Dkt. Rehema Nchimbi (mwenye kitambaa cha pink) akisaidiwa kuvuna muhongo aliozawadiwa na mkulima wa kijiji cha Mwankonko Manispaa ya Singida Gideoin Itambu juzi alipofanya ziara katika Manispaa ya Singida kukagua shughuli za kilimo.
WAANDISHI WA HABARI WAPATA SEMINA KUHUSU MAHINDI YA GMO NA MATUMIZI YA BIOTEKNOLOJIA KATIKA KILIMO
Mshauri mstaafu wa Jukwaa la Bioteknolojia Tanzania (OFAM), Dk.Nicholas Nyange, akitoa mada kwa waandishi wa habari kuhusu matumizi ya Bioteknolojia katika matumizi ya kilimo walipotembelea kituo cha utafiti wa kilimo cha Makutupora mkoani Dodoma.
BILIONI 13.1 KUTUMIKA KUGHARIMIA MIRADI YA MAENDELEO SINGIDA
Mkurugenzi Bravo Kizito Lyampembile (wa kwanza kushoto) na Meya Manispaa ya Singida, Chima Gwae (katikati) wakitiliana saini mkataba wa mradi mkubwa wa ujenzi wa barabara yenye urefu wa kilometa 5.75 za mjini hapa kwa kiwango cha lami,na mwakilishi wa kampuni ya China Henan Internatioanl Co operation Ltd ya jijini Dar es salaam, Bi. Zephyr Liu. Ujenzi huo utagharimu zaidi ya shilingi 13.1 bilioni ambazo zimetolewa na benki ya dunia.
Na Nathaniel Limu, Singida
Halmashauri ya manispaa ya Singida inatarajia kutumia zaidi ya shilingi 13.1 bilioni, kwa ajili ya kugharamia miradi mitatu ya uimarishaji miji (ULGSP) inayogharamia na benki ya dunia.
WAKUU WA WILAYA WATEMBELEA SHAMBA LA JARIBIO LA MAHINDI LA KITUO CHA MAKUTUPORA MKOANI DODOMA
Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais-Muungano na Mazingira, Profesa Faustine (kushoto), akizungumza na wakuu wa wilaya za Dodoma na maofisa watendaji na wenyeviti wa serikali za mitaa na wadau wa kilimo alipotembelea shamba la Jaribio la Mahindi yaliyoboreshwa kwa kutumia Teknolojia ya Uhandisi Jeni (GMO) chini ya Mradi wa Mahindi Yanayostahimili Ukame (WEMA) katika Kituo cha Utafiti wa Kilimo cha Makutupora mkoani Dodoma leo.
Thursday, 19 January 2017
SERIKALI YAONYA WAWEKEZAJI WANAOCHOCHEA MIGOGORO
Na Woinde Shizza,Arusha.
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mrisho Gambo amesema kuwa serikali haitasita kuwachukulia hatua wawekezaji wanaochochea migogoro katika wilaya ya Ngorongoro na kusababisha uvunjifu wa amani hivyo kuchangia kuzorota kwa shughuli za maendeleo.
Gambo ameyasema hayo katika ziara yake wilayani Ngorongoro inayolenga kutatua migogoro wa pori tengefu lenye ukumbwa wa kilomita za mraba elfu kumi na tano ambapo amekutana na wadau mbalimbali ikiwemo wawekezaji, wafugaji pamoja na viongozi wa kiserikali.
WAKUU WA MASHIRIKA YA UMEME KUTOKA NCHI KUMI ZA AFRIKA MASHARIKI WAKUTANA ARUSHA KUJADILI NAMNA YA KUUNDA MIFUMO YA USAFIRISHAJI UMEME KWA NCHI HIZO
![]() |
Wakuu wa
mashirika umeme kutoka katika nchi kumi za Afrika zinazozalisha
umeme(Eastern Africa Power pool(EAPP) zimekutana jijini arusha
kwa malengo ya kujadili mfumo wa usafirishaji wa umeme ikiwa ni pamoja na
namna wananchi wao watakavyoweza pata nishati ya umeme kwa uraisi tofauti
na sasa
Hayo yalisemwa na naibu katibu mkuu wizara ya nishati na madini Dkt.Juliana
palangyo alipokuwa akizungumza katika ufunguzi wa mkutano wa wakuu wa
mashirika ya umeme katika nchi hizo za Eastern Africa Power
Pool (EAPP) mapema leo.
umeme(Eastern Africa Power pool(EAPP) zimekutana jijini arusha
kwa malengo ya kujadili mfumo wa usafirishaji wa umeme ikiwa ni pamoja na
namna wananchi wao watakavyoweza pata nishati ya umeme kwa uraisi tofauti
na sasa
Hayo yalisemwa na naibu katibu mkuu wizara ya nishati na madini Dkt.Juliana
palangyo alipokuwa akizungumza katika ufunguzi wa mkutano wa wakuu wa
mashirika ya umeme katika nchi hizo za Eastern Africa Power
Pool (EAPP) mapema leo.
HALMASHAURI YA JIJI LA ARUSHA YAOKOA ZAIDI YA SHILINGI MILIONI 300 ZILIZOKUWA ZIENDE KWA KWA WAKANDARASI

Halmashauri ya jiji la Arusha imeokoa zaidi ya shilingi milioni mia tatu
sitini na nne zilizokuwa zitumike kwa ajili ya kuwapa wakandarasi kwa ajili ya kujenga madarasa baada yake kamati za shule kupewa jukumu la kusimamia ujenzi wa madarasa hayo badala ya mkandarasi.
SHIRIKA LA UNDER THE SAME SUN LATOA ELIMU KWA WADAU KUHUSU UALIBINO JIJINI MWANZA.
Afisa Maendeleo ya Jamii mkoani Mwanza Isaac Ndassa, akizungumza kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, kwenye ufunguzi wa semina kwa wadau wanaosaidia kutokomeza ukatili dhidi ya watu wenye ualibino, inayofanyika kwa siku nne kuanzia leo Jijini Mwanza.
WASICHANA WANNE WA TANZANIA WAENDA KUPATA MAFUNZO YA UONGOZI, UTAMADUNI AFRIKA MASHARIKI NA KATI
Wasichana wanne wa Tanzania wakiaga kwa kupungia mikono huku wakiwa na , Bendera ya Taifa waliyokabidhiwa na Kamishna Mkuu wa Chama cha Tanzania Girl Guids (TGGA), Symphorosa Hangi katika hafla ya kuwaaga kwenda Uganda ambako watakutana na wenzao 31 kutoka nchi za Afrika Mashariki na Kati katika mafunzo ya uongozi na utamaduni katika nchi hizo. Hafla hiyo ilifanyika Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere, Dar es Salaam juzi. Kutoka kulia ni Farida Mjoge,Elizabeth Betha, Edna Chembele na Ummy Mwabondo.
PROF. MBARAWA AFANYA ZIARA YA KUSHTUKIZA POSTA
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa akiwasili Ofisi za Posta Kuu ya Shirika la Posta maeneo ya Posta Mpya wakati alipofanya ziara ya kushtukiza Dar es Salaam leo. Kulia ni Postamasta Mkuu, Fortunatus Kapinga. (Picha zote na Kassim Mbarouk-www.bayana.blogspot.com)
WAZIRI MKUU AONGOZA KUZINDUA DUKA LA BOHARI YA DAWA (MSD), MPANDA, MKOANI KATAVI
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa (katikati), akikata utepe kuashiria uzinduzi wa duka la Dawa la Bohari ya Dawa (MSD), Mpanda mkoani Katavi. Kutoka shoto mwenye shati la kijani ni Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mkoa wa Katavi, Peter Mselemu, Mkurugenzi wa MSD, Laurean Bwanakunu, Mkuu wa Mkoa wa Katavi, Kanali mstaafu Raphael Muhuga. Wa tatu kulia ni Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo.
TIGO YAZINDUA TWENDE APP KUSAIDIA HUDUMA YA USAFIRI WA TEKSI NCHINI TANZANIA
Mkuu wa Zana za Kidijitali wa Kampuni ya Simu ya Tigo, Tawonga Mpore (kushoto), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo, kuhusu kampuni hiyo kuzindua Twende APP kwa ajili ya kusaidia huduma ya usafiri wa teksi nchini. Kulia ni Mkuu wa Utawala na Fedha wa DTBi ambao ni wawezeshaji wa mradi huo, Mramba Makange na Mkurugenzi wa Idara ya Ubunifu wa Costech, Dk. Digushilu Mafunda.
KATIBU MKUU WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI ATEMBELEA MRADI WA UJENZI NYUMBA ZA ASKARI MAGEREZA, UKONGA JIJINI DAR
Katibu
Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Meja Jenerali Projest Rwegasira
(kushoto), akisalimiana na Mshauri wa Kitengo cha Utafiti wa Udongo kutoka Chuo
Kikuu cha Dar es Salaam (BICO,UDSM), Dk. Dalmas Nyaoro, baada ya kuwasili eneo
la Mradi wa Ujenzi wa Nyumba za Makazi ya Askari Magereza ambao unakadiriwa kuhifadhi
watumishi zaidi ya 300 ukikamilika katika eneo la Ukonga, jijini Dar es Salaam.
(Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi).
Monday, 16 January 2017
WASTAAFU WANAOLIPWA NA HAZINA WAHAKIKIWA KIGOMA
Mkaguzi Mkuu wa Ndani Msaidizi Bw. Stanslaus Mpembe akimhudumia mstaafu wakati wa zoezi la uhakiki wa wastaafu wanaolipwa na Wizara ya Fedha na Mipango, linalofanyika katika Halmashauri ya Mji wa Kigoma, Mkoani Kigoma.
MBUNGE WA TANGA AWAOKOA ASKARI WA JIJI LA TANGA NA KIPIGO KUTOKA KWA WASAFIRISHAJI
Mstahiki Meya wa Jiji la
Tanga,Mhina Mustapha
Selebosi mwenye miwani na tisheti akizungumza na wasafirishaji
wanaofanya shughuli zao kati ya Mombasa nchini Kenya kuhusu kuwataka
kuhamia eneo la stendi mpya ya kange kwa ajili ya kutoa huduma zao
kulia mwenye kofia ni Mbunge wa Jimbo
la Tanga (CUF) Alhaj Mussa Mbaruku.
Subscribe to:
Posts (Atom)






