NA FINNIGAN WA SIMBEYE
12th December 2015
A cartel of elite businesspeople and Tanzania Ports Authority (TPA) top officials conspired to facilitate the passage of 14,244 containers and 3,824 vehicles without paying wharfage amounting to billions of shillings in just a 10-month period, The Guardian can authoritatively report.
Twitter Buzz
....
...
IMETOSHA!
Featured post
KIJANA GOZBERT BWELE ALIVYOMPAGAWISHA MAKAMU WA RAIS WA HISPANIA MJINI NANSIO
Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...
Showing posts with label UCHUNGUZI. Show all posts
Showing posts with label UCHUNGUZI. Show all posts
Monday, 14 December 2015
BANDARI MADUDU TUPU, MAKONTENA 14,200 NA MAGARI 3,800 YAPITISHWA BILA USHURU
Friday, 11 December 2015
AUSTRALIA YAKAMATA SHEHENA YA DAWA ZA KULEVYA ZA ZAIDI YA TSHS BILLIONI 160 PWANI YA TANZANIA
·
Kikosi
maalumu cha kupambana na uharamia cha Australia chakamata Shehena za zaidi ya
Kilogram 151 za dawa za kulevya katika meli Pwani ta Tanzania
·
Thamani
ya dawa hizo ni zaidi ya $ Millioni 80 (zaidi ya Tshs Billioni 160).
·
Mamlaka
za Tanzania ziko kimya mpaka sasa
Sunday, 8 November 2015
ENEO LA LEBANON KATIKA SOKO LA KIMATAIFA LA SAMAKI LA FERI JIJINI DAR ES SALAAM NI HATARI KWA UCHUMI, IKULU
Mwenyekiti wa Kamati ya Soko la Samaki la Kimataifa la Feri, Ali Kibwana, akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam leo asubuhi wanaotembelea masoko mbalimbali ya Manispaa ya Ilala kuona jinsi gani vitendo vya unyanyasaji wa kijinsia umepungua katika soko hilo baada ya Shirika la Equality for Growth (EfG) kutoa mafunzo ya kupinga ukatili katika masoko hayo. Kushoto ni Mwezeshaji wa Sheria katika soko hilo, Bakari Said.
Saturday, 26 September 2015
HIFADHI YA MANYARA YAKABILIWA NA SIMBA WAJANE, YATIMA
Mwandishi wa makala haya akiwa kwenye geti la kuingilia ndani ya Hifadhi ya Taifa ya Manyara.
Simba majike wakiwa na watoto wao ndani ya Hifadhi ya Taifa ya Manyara.
Simba akiwa amejipumzisha juu ya mti.
Na Daniel Mbega,
Manyara
HAWAFI kwa Ukimwi wala malaria, lakini Simba madume wametoweka katika
Hifadhi ya Taifa ya Manyara. Matokeo yake wameacha wajane na yatima.
Hadi kufikia mwaka 2013, hifadhi nzima inadaiwa ilikuwa na Simba dume
mmoja tu, wawili wengine walikimbia baada ya ‘kuzidiwa’ na utoaji wa huduma kwa
Simba majike.
Naam. Hayo ndiyo matokeo ya ujangili, janga la kitaifa ambalo kwa hakika
linatishia uwepo wa rasilimali za asili kwa faida ya wachache wanaotaka kuchuma
mahali wasipopanda.
Hali hiyo imesababisha hata kivutio kile maarufu cha kuwaona Simba
wanaokwea miti kutoweka, kwani walio wengi wanaogopa kukwea miti kwa hofu ya
kupopolewa na majangili.
“Nimekuja hapa kutaka kuwaona hao Simba wanaokwea miti, lakini sijamuona
hata mmoja,” anasema kwa masikitiko Sarah Evans, mtalii kutoka Uingereza.
Friday, 25 September 2015
LICHA YA VUGUVUGU KUBWA, HIZI NDIZO SABABU 10 ZA CCM KUSHINDA 2015
John Magufuli mara baada ya kupitishwa na CCM kugombea Urais Julai 12, 2015.
Na Daniel Mbega
KIMBUNGA
kimepita ndani ya Chama cha Mapinduzi (CCM) na kwa kiasi kikubwa kimekitikisa
chama hicho kikongwe barani Afrika.
Kuondoka
kwa Waziri Mkuu wa zamani Edward Lowassa kwenda Chadema na hatimaye kuteuliwa
na Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) kumeitikisa CCM hasa kutokana na wimbi
la makada wengi walioondoka pamoja naye.
Awali CCM
iliamini kwamba, baada ya kumaliza zoezi la kumpata mgombea wake wa urais Julai
12 mjini Dodoma, basi kazi ingekuwa rahisi zaidi, lakini kwa uhakika imekuwa
ngumu na kuiyumbisha ingawa badoina nafasi kubwa ya kushinda uchaguzi mkuu wa
mwaka huu.
Friday, 18 September 2015
NYERERE ALISEMA...HAKUNA TAJIRI MZURI WALA MBAYA, MATAJIRI WOTE NI WEZI!
Mtaji wa maskini ni nguvu zake mwenyewe, lakini mtaji wa tajiri ni jasho la maskini!
Na Daniel Mbega
“Siku zote tajiri ndiye atakayeamua huyu alipwe
mshahara kiasi gani, huyu apate kiasi gani. Na itaendelea kuwa hivyo mpaka
wafanyakazi tena wamgomee, waje juu waseme; “Wewe siyo tajiri mzuri!” Sijui
kama kuna tajiri mzuri na tajiri mbaya, na hivyo nawaambieni kwamba hakuna
tajiri mzuri, tajiri wote ni wezi!”
Hii ni
sehemu ya hotuba ya Mwalimu Julius Nyerere akihutubia wafanyakazi katika
sherehe za Mei Mosi. Sikumbuki ni lini.
Hata
hivyo, maneno haya yamenifanya nitafakari sana mambo yanayoendelea katika siasa
za nchi yetu, hususan za vyama vingi, tangu mfumo huo ulipoanza Julai Mosi,
1992.
Thursday, 17 September 2015
KIAMA CHA MAJANGILI CHAJA, BATHAWK YAZINDUA NDEGE MAALUM KUPAMBANA NAO
Ndege aina ya Super Bat DA-50
Na Daniel Mbega, Mkomazi
NI majira
ya saa tatu asubuhi Jumatano, Septemba 16, 2015 wakati tunawasili kwenye uwanja
mdogo wa ndege (air strip) katika eneo la Kisima ndani ya Hifadhi ya Taifa ya
Mkomazi inayotenganisha mikoa ya Kilimanjaro na Tanga.
Uwanja unaonekana
mweupe, hakuna ndege! Nikashangaa kwa sababu wenyeji wetu kampuni ya Bathawk
Recon wametuambia tunakuja kushuhudia uzinduzi wa ndege maalum zinazopambana na
ujangili.
Wednesday, 9 September 2015
LIPUMBA AMEHONGWA, SLAA AMENUNULIWA... UKAWA WAMETEKWA!
Profesa Ibrahim Lipumba akitetea jambo na Edward Lowassa siku kada huyo wa Chama cha Mapinduzi alipojiunga na Chadema/Ukawa Julai 28, 2015.
Lowassa akiwa na viongozi wa Chadema siku chama hicho kilipotangaza kumpokea Julai 27, 2015. Dk. Slaa anaonekana kushoto.
Thursday, 3 September 2015
UKWELI WA MWANASIASA NI JINA LAKE TU
Na Daniel Mbega
KAMA
ni shule ya sanaa, basi wanasiasa wawili waliopata kuwa mawaziri wakuu – Edward
Lowassa na Frederick Sumaye – wamefuzu vya kutosha. Bora Lowassa tunajua alisomea sanaa, lakini Sumaye alisomea kilimo!
Katika
kipindi cha mwezi mmoja uliopita, wanasiasa hao ambao wamejitoa Chama cha
Mapinduzi na kwenda Chadema kuliko na mwavuli wa Ukawa, wametamka mambo ambayo
binafsi yamenichanganya.
Wednesday, 2 September 2015
MIAKA MITATU YA KIFO CHA DAUDI MWANGOSI
Askari polisi wakimshambulia mwanahabari Daudi Mwangosi Septemba 2, 2012 huko Nyororo. Kushoto anaonekana askari akilipua bomu kumelekezea tumboni ambalo liliufumua mwili wake na kuusambaratisha.
Daudi Mwangosi enzi ya uhai wake
Leo ni miaka mitatu tangu mwanahabari Daudi Mwangosi alipouawa kinyama na askari polisi katika mkutano wa hadhara kwenye Kijiji cha Nyororo wilayani Mufindi. Naamini ndugu zangu wa Iringa watakuwa wamefanya kumbukumbu kama miaka yote, japo nasikitika sikuweza kuhudhuria.
Lile lilikuwa tukio la kuhuzunisha kwa sababu lilitendwa katika mazingira ambayo yangeweza kuzuia umwagaji damu, tena mbele ya Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Iringa wakati huo, Michael Kamuhanda.
Monday, 31 August 2015
OLE KWA WATANZANIA, SHERIA YA MAKOSA YA MITANDAO KUWAFUNGA WENGI
Maxence Mello, Mkurugenzi wa kampuni ya Jamii Media wamiliki wa JamiiForums na Fikra Pevu, akifafanua madhara ya Sheria ya Makosa ya Mtandao kwa wahariri na waendhsa blogu (blogger) wakati wa warsha ya siku moja iliyofanyika kwenye Hoteli ya Kebbys, Mwenge jijini Dar es Salaam Agosti 27, 2015. (Picha na Daniel Mbega).
Sunday, 23 August 2015
MAGUFULI ‘TINGATINGA’ AJIVUNIA KUSIMAMIA UJENZI WA 6,276KM ZA BARABARA NCHINI
Wakati wakandarasi walipokuwa wanajenga daraja hili katika eneo la Miangalua kwenye barabara ya Tunduma-Sumbawanga mwaka 2011. Barabara hiyo sasa imekamilika.
Barabara ya Mwanza-Musoma iko katika hali nzuri.
Ujenzi wa barabara ukiendelea katika baadhi ya miradi nchini.
Ujenzi wa barabara ya Iringa-Dodoma umekamilika kwa asilimia 95, bado maeneo machache tu likiwemo hili la Mlima Nyang'oro ambapo Wachina wameuchonga ili kupunguza kona katika umbali wa kilometa 15. (Picha zote na Daniel Mbega wa www.brotherdanny.com).
Na Daniel Mbega, brotherdannyblog
Sumbawanga: NAJIWEKA vyema kwenye
kiti na kutazama nje kupitia dirishani. Japokuwa giza limetanda majira haya ya
saa 4:30 usiku, lakini ninaweza kuhisi jinsi basi hili nililopanda la kampuni
ya Majinjah linavyotafuna lami.
Abiria mwenzangu wa jirani ananiambia tutaingia
saa sita kasoro usiku Sumbawanga mjini. Nafarijika japo uchovu ni mwingi, maana kuketi kwenye basi kwa saa takriban 15 siyo mchezo ingawa tulipata nafasi mara kadhaa za kupumzika 'kuchimba dawa' na kupata mlo.
“Barabara yote ni lami tupu ndugu yangu,
kasoro tu ni haya matuta kutoka Tunduma hadi Sumbawanga, lakini yamesaidia
kupunguza mwendokasi,” ananieleza.
Thursday, 20 August 2015
ALBINO WATANO WA TANZANIA WAREJESHEWA VIUNGO MAREKANI
Watoto watano wa Tanzania wenye ulemavu wa ngozi waliokuwa wamekatwa viungo vya miili yao wamewekewa mikono na miguu ya bandia katika hospitali iliyopo nchini Marekani.
Wednesday, 29 January 2014
Sunday, 26 January 2014
Thursday, 23 January 2014
MTANDAO WA KUMTOA JACK PATRICK WAUNDWA
FAMILIA
ya modo wa Bongo, Jacqueline Patrick aliyenaswa kwa msala wa madawa ya
kulevya Macau- China inadaiwa kuunda mtandao kwa ajili ya kufanikisha
zoezi la kumchomoa mrembo huyo mikononi mwa vyombo vya sheria.
BARUA KUTOKA CHINA: VIGOGO WA DAWA ZA KULEVYA (7)
Ndugu zangu,
Mfululizo wa barua kutoka Uchina, ambazo zinaelezwa kuandikwa na wafungwa wa dawa za kulevya, unaendelea.
Tunaweza kuziperuzi hapa kwa mujibu wa v2catholic.china8.org.
Mfululizo wa barua kutoka Uchina, ambazo zinaelezwa kuandikwa na wafungwa wa dawa za kulevya, unaendelea.
Tunaweza kuziperuzi hapa kwa mujibu wa v2catholic.china8.org.
Tuesday, 21 January 2014
BARUA KUTOKA CHINA: VIGOGO WA DAWA ZA KULEVYA (6)
Ndugu zangu,
Ni mfululizo tu wa zile barua kutoka Uchina zinazoelezea madhara ya usafirishaji wa dawa za kulevya pamoja na kuwataja baadhi ya vigogo hao wa Tanzania.
Hii ni kwa mujibu wa http://v2catholic.china8.or
Monday, 20 January 2014
RADICAL MEASURES NEEDED TO TACKLE THE WANTON CORRUPTION IN TANZANIA'S GOVT
2013-09-12 Letter from a Tanzanian inmate in a Hong Kong prison
In Tanzania , sadly, corruption is a “low-risk, high-profit” venture that , as it grows more widespread, has become more inventive and less visible in practice. The sums at stake also grow larger.
In Tanzania , sadly, corruption is a “low-risk, high-profit” venture that , as it grows more widespread, has become more inventive and less visible in practice. The sums at stake also grow larger.
NARCOTICS TRAFFICKER DRAGGED IN DAR COURT
The case was set for mention January 29 and the accused was driven back to remand prison.PHOTO|FILE
Posted Thursday, January 16 2014 at 00:00
Dar es Salaam. A woman Salama
Omary Mzala, 39, yesterday in the Kisutu Resident Magistrates’ Court to
answer charges of trafficking drugs, worth Sh39.3 million.
Subscribe to:
Posts (Atom)





















