Twitter Buzz

....

....

...

...

IMETOSHA!

IMETOSHA!

Featured post

KIJANA GOZBERT BWELE ALIVYOMPAGAWISHA MAKAMU WA RAIS WA HISPANIA MJINI NANSIO

Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...

Thursday 28 May 2015

SEVILLA NDIO MABINGWA WA LIGI YA EUROPA

Fainali kati ya Sevilla na Dnipropetrovsk
Usiku wa kuamkia leo kulikuwa na kivumbi cha fainali ya Uefa ndogo, kwenye mtanange ulioikutanisha Sevilla ya Hispania dhidi ya Dnipropetrovsk ya Ukraine.

Katika mchezo huo uliopigwa mjini Warsaw nchini Poland, Sevilla imeibuka kidedea kwa jumla ya bao 3-2, huku shukrani za dhati zikienda mkolombia Carlos Bacca aliyetumbukiza kimiani mabao mawili kati ya matatu yaliyoipa ushindi Sevilla. 
Hii ni mara ya pili mfululizo kwa timu hiyo kunyakua kombe hilo na kuweka rekodi ya kuchukua mara nyingi zaidi taji hilo. 
Ukiachilia mbali ushindi huu walioupata jana, Sevilla ilitawazwa kuwa mabingwa kwa mara ya kwanza mwaka 2006, 2007 na 2014.
CREDIT: BBC

No comments:

Post a Comment