Twitter Buzz

....

....

...

...

IMETOSHA!

IMETOSHA!

Featured post

KIJANA GOZBERT BWELE ALIVYOMPAGAWISHA MAKAMU WA RAIS WA HISPANIA MJINI NANSIO

Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...

Wednesday 27 May 2015

RAIS KIKWETE AFUNGUA MKUTANO WA MABALOZI WA TANZANIA DAR ES SALAAM

1
Rais Dk. Jakaya Mrisho Kikwete akitoa hotuba yake ya ufunguzi wakati wa mkutano wa mabalozi wa Tanzania. Mkutano huo umeandaliwa na Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, unaojadili kwa kina namna ya kutekeleza dira mpya ya Sera ya Mambo ya Nje ya Tanzania ili kuendana na mabadiliko ya Uchumi na Diplomasia Duniani na kuleta tija nchini. (Watatu Kushoto), Waziri wa Mambo ya Nje Mh. Bernard Membe, wanne kushoto ni Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue na wapili kushoto ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Balozi Liberata Mulamula.  (Picha na Freddy Maro) 
unnamed

No comments:

Post a Comment