Twitter Buzz

....

....

...

...

IMETOSHA!

IMETOSHA!

Featured post

KIJANA GOZBERT BWELE ALIVYOMPAGAWISHA MAKAMU WA RAIS WA HISPANIA MJINI NANSIO

Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...

Wednesday 27 May 2015

WAKILI NCHINI KENYA KUOA MTOTO WA OBAMA


Taarifa kuwa wakili mmoja wa kenya amesema yuko tayari kutoa mahari kwa mtoto wa raisi wa Marekani,Barrack Obama zimeenea duniani kote Felix Kiprono amesema yuko tayari kutoa ng'ombe 50, kondoo 70 na mbuzi 30 kwa ajili ya mahari ya mtoto wa Obama, Malia Obama. Hivyo anajiandaa kuzungumzia suala hilo na baba wa mtoto huyo atakapo tembelea Kenya mwezi Julai.

No comments:

Post a Comment