Twitter Buzz

....

....

...

...

IMETOSHA!

IMETOSHA!

Featured post

KIJANA GOZBERT BWELE ALIVYOMPAGAWISHA MAKAMU WA RAIS WA HISPANIA MJINI NANSIO

Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...

Wednesday 27 May 2015

PINDA AJIANDIKISHA DAFTARI LA WAPIGA KURA

nd1
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akijiiandikisha  katika  kituo cha kuandikisha wapiga kura cha  Ofisi ya Mtendaji wa Kata ya Kibaoni iwilayani Mlele Mei 25, 2015.  Kushoto ni Mwandikishaji wapiga kura,  Auxilia Gaspar. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
nd2
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akionyesho kitambulisho chake cha mpiga kura baada ya kujiandikisha  katika kituo  cha Ofisi ya Mtendaji wa Kata ya Kibaoni i wilayani Mlelele Machi 25,2015. .Kulia ni Mkuu wa mkoa wa katavi, Dkt Ibrahim Msengi na Kushoyo ni Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Julius Malaba. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
nd3
 Mke wa Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda akichukuliwa maelezo  wakati  alipojiandikisha  katika  kituo cha kuandikisha wapiga kura cha  Shule ya Msingii Kakuni katika kijiji cha Kibaoniwilayani Mlele Mei 25, 2015.  Kulia ni Mwandikishaji wapiga kura,  Happiness Isaya. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
nd4
 Mke wa Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda akichukuliwa alama za vidole wakati  alipojiandikisha  katika  kituo cha kuandikisha wapiga kura cha  Shule ya Msingii Kakuni katika kijiji cha Kibaoniwilayani Mlele Mei 25, 2015.  Kulia ni Mwandikishaji wapiga kura,  Happiness Isaya. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment