Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akisalimiana na kumkaribisha Profesa Ibrahim Gambari ambaye ni Mjumbe maalum wa
Rais wa Nigeria Muhammadu Buhari aliyefika Chato mkoani Geita kwa ajili ya
mazungumzo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa
katika mazungumzo na Profesa Ibrahim Gambari ambaye ni Mjumbe maalum wa Rais wa
Nigeria Chato mkoani Geita.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akipokea barua yenye ujumbe maalum kutoka kwa Rais wa Nigeria Muhammadu Buhari
uliowasilishwa na Profesa Ibrahim Gambari ambaye ni Mjumbe maalum wa Rais huyo wa
Nigeria, Chato mkoani Geita.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akimsindikiza mgeni wake Profesa Ibrahim Gambari ambaye ni Mjumbe maalum wa
Rais wa Nigeria Muhammadu Buhari mara baada ya kumaliza mazungumzo yao Chato
mkoani Geita.
Profesa Ibrahim Gambari ambaye ni Mjumbe maalum wa Rais wa Nigeria Muhammadu
Buhari akimshukuru Rais Dkt. John
Magufuli mara baada ya kumaliza mazungumzo yao Chato mkoani Geita.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akimsikiliza mgeni wake Profesa Ibrahim Gambari ambaye ni Mjumbe maalum wa Rais
wa Nigeria Muhammadu Buhari mara baada ya kumaliza mazungumzo yao Chato mkoani
Geita.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akiagana na mgeni wake Profesa Ibrahim Gambari ambaye ni Mjumbe maalum wa Rais
wa Nigeria Muhammadu Buhari mara baada ya kumaliza mazungumzo yao Chato mkoani
Geita. PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment