Twitter Buzz

....

....

...

...

IMETOSHA!

IMETOSHA!

Featured post

KIJANA GOZBERT BWELE ALIVYOMPAGAWISHA MAKAMU WA RAIS WA HISPANIA MJINI NANSIO

Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...

Thursday 26 March 2015

MAREKANI YASHAMBULIA TIKRIT NCHINI IRAQ

 
 Ndege za jeshi la Marekani zimeshambulia mji wa Tikrit nchini Iraq

Ndege za kijeshi za Marekani zimeanza kutekeleza mashambulizi makali, katika maeneo yenye wanamgambo wa Islamic State, katika mji wa Tikrit uliotekwa na waasi hao.

Vifaru vya jeshi la Iraqi pia vimerejelea mashambulizi makali ya ardhini katika mji huo.
Kiongozi mmoja mkuu wa Marekani, anasema kwamba mashambulio ya angani kwa maeneo yanayolengwa, yanafuatia ruhusa kutoka kwa serikali ya Iraq.
BBC
 

No comments:

Post a Comment