Twitter Buzz

....

....

...

...

IMETOSHA!

IMETOSHA!

Featured post

KIJANA GOZBERT BWELE ALIVYOMPAGAWISHA MAKAMU WA RAIS WA HISPANIA MJINI NANSIO

Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...

Thursday 26 March 2015

PSPF YATOA SEMINA KWA WADAU JUU YA HUDUMA ZAKE

Displaying 748.JPG
Mkurugenzi Mkuu wa PSPF Bw. Adam Mayingu akimkaribisha Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Utamaduni Prof. Helmans Mwansoko hayupo pichani ambaye aliyemwakilisha Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Prof Elisante Ole Gabriel katika ufunguzi wa Semina kwa Maafisa na Wakuu wa Idara za Halmashauri za Wilaya, Miji na Manispaa za Mikoa ya Dar es Salaam na Pwani iliyolenga kutoa elimu juu ya huduma mbalimbali zitolewazo na Mfuko huo.

Displaying 808.JPG 
Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Utamaduni kutoka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Prof. Helmans Mwansoko aliyemwakilisha Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel katika ufunguzi wa Semina iliyolenga kutoa elimu ya huduma zitolewazo na Mfuko huo kwa Maafisa na Wakuu wa Idara za Halmashauri za Wilaya, Miji na Manispaa za Mikoa ya Dar es Salaam na Pwani.Displaying 860.JPG 
Maafisa na Wakuu wa Idara za Halmashauri za Wilaya, Miji naManispaa zaMikoa ya Dar es Salaam na Pwani wakimsikiliza mgeni rasmi kutoka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Prof. Helmans Mwansoko hayupo pichani katika ufunguzi wa semina inayolenga kutoa elimu juu ya hudu mambalimbali zitolewazo na mfuko wa PSPF.Displaying 891.JPG 
Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Utamaduni kutoka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Prof. Helmans Mwansoko wa tano kutoka kulia waliokaa akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya Maafisa na Wakuu wa Idara za Halmashauri za Wilaya, Miji, na Manispaa za Mikoa ya Dar es Salaam na Pwani mara baada ya kufungua semina inayolenga kutoa elimu juu ya huduma mbalimbali zitolewazo na mfuko wa PSPF.

No comments:

Post a Comment