Twitter Buzz

....

....

...

...

IMETOSHA!

IMETOSHA!

Featured post

KIJANA GOZBERT BWELE ALIVYOMPAGAWISHA MAKAMU WA RAIS WA HISPANIA MJINI NANSIO

Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...

Monday 27 July 2015

MPINZANI MKUBWA WA NKURUNZIZA, AGHATON RWASAAHUDHURIA VIKAO VYA BUNGE BURUNDI

Aghaton Rwasa
Kiongozi wa upinzani nchini Burundi Agathon Rwasa amehudhuria kikao cha kwanza cha bunge tangu uchaguzi wa ubunge mnamo tarehe 29 Juni.

Hatua hiyo imewashangaza wengi kwa kuwa alipinga matokeo ya uchaguzi huo pamoja na yale ya urais wiki iliopita ambapo alijipatia asilimia 20 ya kura.
Lakini viti 12 kati ya 30 vya muungano wake havikuwa na wabunge huku wabunge walio watiifu kwa kiongozi mwenza Charles Nditije wakisusia kikao hicho.
CREDIT: BBC

No comments:

Post a Comment