Twitter Buzz

....

....

...

...

IMETOSHA!

IMETOSHA!

Featured post

KIJANA GOZBERT BWELE ALIVYOMPAGAWISHA MAKAMU WA RAIS WA HISPANIA MJINI NANSIO

Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...

Tuesday 29 April 2014

SKYLIGHT BAND NA BODABODA BAND YA KIDUMU YATIKISA JIJI LA DAR ESCAPE ONE

DSC_0311
Skylight Band wakikamua jukwaani..Kutoka kushoto ni Joniko Flower, Aneth Kushaba AK47, Sony Masamba na Sam Mapenzi  kwenye show maalum ya uzinduzi wa Video yao mpya ya “Kariakoo” uliosoindikizwa na Bodaboda Band ya msanii Kidumu kutoka jijini Nairobi uliofanyika kwenye kiota cha Escape One.(Picha na Zainul Mzige wa MOblog).
DSC_0308
DSC_0230
Mrembo Neema Mbuya alikuwepo kuwahudumia wageni 100 wa kwanza na Tequila shots.
DSC_0341
wageni wakihudumiwa Tequila shots!
DSC_0368
Divas wa Skylight Band wakiongozwa na Aneth Kushaba AK47 kutoa burudani kwa mashabiki wa Band hiyo.
DSC_0463
Burudani ikiendele huku wengine wakicheza.
DSC_0465
Palikuwa hapatoshi Escape One.
DSC_0484
Swagga za vijana wa Skylight Band.
DSC_0375
Aneth Kushaba AK47 na Digna Mbepera sambamba wakitoa burudani kwa umati wa mashabiki wa Skylight Band kwenye kita cha Escape One Mikocheni jijini Dar walipofanya show maalum ya kutambulisha Video yao mpya ya Kariakoo na kusindikizwa na Bodaboda Band ya Kidumu kutokea nchini Nairobi.
DSC_0238
Sam Mapenzi akikamua jukwaani.
DSC_0627
Uzinduzi wa Video mpya ya Skylight Band inayofahamika kwa jina la “Kariakoo” ikiwa hewani na kushuhudiwa na mamia ya mashabiki wa Band hiyo.
DSC_0637
Skylight Band wakimamua wimbo wa Kariakoo Live kwa mashabiki wao ndani ya kiota cha Escape One.
Untitled
DSC_0660
Na watuache kwa raha zetu…..!
DSC_0667
DSC_0599
DSC_0697
What would I do without your smiling mouth?….Drawing me in, and you kicking me out

You’ve got my head spinning, no kidding, I can’t pin you down…What’s going on in that beautiful mind…I’m on your magical mystery ride…..And I’m so dizzy, don’t know what hit me, but I’ll be alright…

DSC_0705
Daudi Tumba wa Skylight Band akifanya yake jukwaani.
DSC_0728
It might seem crazy what I’m about to say…Sunshine she’s here, you can take a break..I’m a hot air balloon that could go to space….With the air, like I don’t care baby by the way…Aneth Kushaba AK47 akito burudani kwa mashabiki wa Skylight Band huku akipewa sapoti na Hashim Donode, Digna Mbepera pamoja na Winfrida Richard.
DSC_0726
Because I’m happy…Clap along if you feel like a room without a roof…Because I’m happy…!!!
DSC_0724
When fans feel the music…imagine?
DSC_0811
Waimbaji na wapiga vyombo wa Bodaboda Band wakisakata sebene la Skylight Band.
DSC_0814
Joniko Flower akiwahenyesha Bodaboda Band na sebene la Skylight Band.
DSC_0819
Bodaboda Band wanayaweza bwana.
DSC_0745
Bodaboda Band ya Kidumu wakitoa burudani kwa mashabiki wa Skylight Band walipoamua kufanya show ya pamoja kusindikiza utambulisho wa video mpya ya Kariakoo ya Skylight Band kwa mashabiki wake.
DSC_0498
Waimbaji wa Bodabida Band ya Kidumu wakitoa burudani kwa mashabiki wa Skylight Band.
DSC_0508
Mpiga Solo wa Bodaboda Band akiwajibika.
DSC_0525
Twende kazi…Kidumu na Bodaboda Band wakifanya yao.
DSC_0543
Wabongo wakichizika na Bodaboda Band.
DSC_0549
Palifurika sana….wewe tu unayesoma post hii ndio umekosa.
DSC_0551
Burudani ikidendelea kutoka kwa Bodaboda Band ya Kidumu.
DSC_0577
Shangwe zikiendelea na Bodaboda Band ya Kidumu.
DSC_0579
Shosti JembeniJembe ni balaaaaaa!
DSC_0582
DSC_0584
DSC_0589
Sio TMK ni bodaboda band wakifanya yao jukwaani.
DSC_0596
DSC_0772
Msanii Kidumu na Joniko Flower wa Skylight Band kwa pamoja wakicheza na kuimba jukwaa moja kwenye show iliyowabamba wakazi wa jijini Dar.
DSC_0775
Mkurugenzi Mkuu wa Skylight Band Dr. Sebastian Ndege a.k.a JembeniJembe sambamba na vijana wake wakisakata sebene la aina yake.
DSC_0782
Kidumu akiwafundisha staili ya kusakata sebene.
DSC_0783
JembeniJembe hashindwagi kitu….!!!
DSC_0784
Twende kazi…..!
DSC_0786
JembeniJembe sambamba na Aneth Kushaba AK47 wakionekana kufuzu uchezaji wa Kidumu.
DSC_0790
Na burudani iendelea mpaka kucheeeee…!
DSC_0474
Couples iliyobamba usiku wa Skylight Band na Bodaboda Band ya Kidumu.
DSC_0568
Mdau Dagma akishow love na mchizi wake.
DSC_0570
Swaggaz!
DSC_0482
DSC_0803
Wadau wa Kijitonyama wakipata Ukodak.
DSC_0805
One Love bata na liendeleeee…!!!
DSC_0492
Joniko Flower na Fans wake kutoka jijini Arusha.
DSC_0807
Winfrida Richard wa Skylight Band akiwa backstage na marafiki zake.
DSC_0827
Chege Chigunda na Julio Batalia wakishow love na Joniko Flower.
DSC_0680
Mpiga Bass mpya wa Skylight Band Tophy akishow love na msanii maarufu kutoka nchini Kenya Kiduma aliyetawala jukwaa moja na Skylight Band pamoja na Bodaboda Band.

CHANZO, MOBLOG

No comments:

Post a Comment