Twitter Buzz

....

....

...

...

IMETOSHA!

IMETOSHA!

Featured post

KIJANA GOZBERT BWELE ALIVYOMPAGAWISHA MAKAMU WA RAIS WA HISPANIA MJINI NANSIO

Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...

Saturday 26 April 2014

BONDIA BERNARD HOPKINS AMSHINDA BEIBUT SHUMENOV KWA POINT

Bondia Bernard Hopkins  kushoto akipambana na Beibut Shumenov wakati wa mpambano wao uliofanyika usiku wa kuamkia leo Hopkins  alishinda kwa majaji wawili kwa mmoja mpambano huo wa raundi 12
 Bondia Bernard Hopkins  kulia akimtupia konde mpinzani wake wakati wakipambana na Beibut Shumenov wakati wa mpambano wao uliofanyika usiku wa kuamkia leoHopkins  alishinda kwa majaji wawili kwa mmoja mpambano huo wa raundi 12
Bondia Bernard Hopkins  kulia akipambana na Beibut Shumenov wakati wa mpambano wao uliofanyika usiku wa kuamkia leo Hopkins  alishinda kwa majaji wawili kwa mmoja mpambano huo wa raundi 12

CHANZO, JIACHIE

No comments:

Post a Comment