Twitter Buzz

....

....

...

...

IMETOSHA!

IMETOSHA!

Featured post

KIJANA GOZBERT BWELE ALIVYOMPAGAWISHA MAKAMU WA RAIS WA HISPANIA MJINI NANSIO

Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...

Tuesday 29 April 2014

RAIS WA BRAZIL AMUUNGA MKONO ALVES

Break in play: Alves later credited the banana with giving him the energy to help Barca beat Villarreal


Swala a tata la ubaguzi wa rangi katika michezo limeibua mchango wa rais wa Brazil.

Rais Dilma Rousseff, amesifu kitendo cha mchezaji wa kimataifa wa Brazil, na Barcelona Dani Alves kutokana na tukio la ubaguzi wa rangi wakati wa mechi ya ligi kuu ya Uhispania, La Liga kati ya Barcelona na Villareal .

Mchezaji huyo wa Barcelona aliokota ndizi aliyokuwa ametupiwa na kuila kabla ya kuitupa na kuendelea na mchezo.

Bi Rousseff aliandika katika mtandao wake wa twitter kuwa Dani Alves alionyesha ujasiri wa kukabiliana na ubaguzi wa rangi katika kandanda na kuwa ni tukio la kuigwa .

Klabu ya Villarreal inasema kuwa imempiga marufuku mwanaume ambaye alitupa ndizi hiyo uwanjani na kuwa hatohudhuria mechi zote za nyumbani za klabu hiyo maishani.

Mamia ya watu na wachezaji maarufu duniani wameonyesha upendo wao kwa mchezaji huyo kwa kuweka picha zao kwenye mitandao wa kijamii wakila ndizi.

Mchezaji wa Manchester City Sergio Aguero alipachika picha akila ndizi sawa na nyota ya soka ya wanawake Marta, wengine ni Luiz Suarez wa Liverpool,Oscar, David Luiz na Willian wote wa Chelsea .

Rais wa Fifa sepp Blatter ameongezea sauti yake katika tukio la hivi punde akisema ni vibaya kwa dhulma hizo kuendelea katika karne hii.

Full support: Sergio Aguero and Marta show their solidarity for Alves by eating bananas

Sergio Aguero (kushoto) akila ndizi kupinga kitendo hicho

 Biting back: Alves' girlfriend Thaissa Carvalho (centre( posted a picture of her and others eating bananas with the hashtag #saynotoracism

Neymar (kushoto) akila ndizi kuashiria kuwa anapinga kitendo hicho, kulia ni mchumba wa Daniel Alves (aliyebaguliwa) akiwa ameshika ndizi.


Campaign: Television presenter Marilo Montero also joined in the backing for Alves

Mtangazaji wa televishen Marilo Montero akila ndizi kuonesha kuwa anapinga ubaguzi

Getting stuck in: Tottenham's Mousa Dembele and Nacer Chadli in the Tottenham canteen

wacheazaji wa Totenham, Mousa Dembele na Nacer Chadli wakila ndizi kupiga kitendo hicho

From Russia with love: Zenit St. Petersburg's Hulk was another to join in the fight

Hulk pia alipinga kitendo hicho cha ubaguzi wa rangi

We're all the same: Philippe Coutinho and Luis Suarez show their support for Alves with the banana protest

Coutinho na Suarez nao walikula ndizi kupinga ubaguzi

Tired of bigotry: Arsenal full back Bacary Sagna relaxes with a banana in support of Alves

Bacary Sagna alionekana akila ndizi kupinga kitendo hicho

Taking a bite out of it: Fernandinho and his son posted this picture

Fernadinho akiwa na mwanae wote walikuwa wakila ndizi kupinga ubaguzi huo.


No comments:

Post a Comment