Twitter Buzz

....

....

...

...

IMETOSHA!

IMETOSHA!

Featured post

KIJANA GOZBERT BWELE ALIVYOMPAGAWISHA MAKAMU WA RAIS WA HISPANIA MJINI NANSIO

Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...

Sunday 27 April 2014

CHADEMA YAPATA PIGO MUFINDI KUSINI

Katibu wa CHADEMA Jimbo la Mufindi Kusini, Emannuel Ngwalanje akikabidhi vitendea kazi vyake na kadi ya Uanachama wa CHADEMA kwa katibu wa CCM wilaya ya Mufindi Miraji Mtaturu (kushoto ) baada ya kukihama chama hicho na kujiunga na CCM.
Emannuel alisema alikuwa CHADEMA kwa lengo la kutaka mabadiliko lakini kwa bahati mbaya sana aliambulia fitina na siasa za chuki.

CHANZO: MTIZAMOHURU

No comments:

Post a Comment