CHANZO,FULL SHANGWE
Twitter Buzz
....
...
IMETOSHA!
Featured post
KIJANA GOZBERT BWELE ALIVYOMPAGAWISHA MAKAMU WA RAIS WA HISPANIA MJINI NANSIO
Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...
Tuesday 29 April 2014
MAKAMU WA RAIS MGENI RASMI MAADHIMISHO YA SIKU YA USALAMA NA AFYA DUNIANI, KATIKA VIWANJA VYA MNAZI MMOJA DAR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na viongozi mbalimbali alipowasili kwenye viwanja vya mnazi mmoja jijini Dar es salaam April 28-2014, kwa ajili ya kuhutubia wananchi kwenye maadhimisho ya siku ya usalama na Afya Duniani.Afisa mkuu mwandamizi wa mazingira katika mamlaka ya Bandari Thobias Sonda akimpa maelezo Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, juu ya utumiaji wa vifaa vya kupimia hewa, wakati alipotembelea Banda la maabara ya mkemia mkuu wa Serikali kwenye Maonesho ya maadhimisho ya siku ya Usalama na Afya Duniani yaliyoadhimishwa April 28-2014, Viwanja vya Mnazi mmoja jijini Dar es salaam. Mtaalam wa uchimbaji wa madini katika mgodi wa Noth Mara Gold Mine Paul Kagodi akimuonesha Makamu wa Rais vifaa vinavyotumika katika kazi ya uchimbaji wa madini wakati alipotembelea mabanda ya Maonesho kwenye maadhimisho ya siku ya Usalama na Afya Duniani yaliyoadhimishwa April 28-2014, Viwanja vya Mnazi mmoja jijini Dar es salaam.Watumishi wa taasisi mbalimbali wakiwa kwenye maandamano ya maadhimisho ya siku ya Usalama na Afya Duniani yaliyoadhimishwa April 28-2014 kwenye viwanja vya mnazi mmoja jijini Dar es salaam.Watumishi wa taasisi mbalimbali wakiwa kwenye maandamano ya maadhimisho ya siku ya Usalama na Afya Duniani yaliyoadhimishwa April 28-2014 kwenye viwanja vya mnazi mmoja jijini Dar es salaam.Watumishi wa taasisi mbalimbali wakiwa kwenye maandamano ya maadhimisho ya siku ya Usalama na Afya Duniani yaliyoadhimishwa April 28-2014 kwenye viwanja vya mnazi mmoja jijini Dar es salaam.Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akipokea maandamano kwenye maaadhimisho ya siku ya Usalama na Afya yaliyoadhimishwa April 28-2014 katika viwanja vya mnazi mmoja jijini Dar es salaam.Kikundi cha OUT Jaz Band kikitumbuliza kwenye maadhimisho ya siku ya Usalama na Afya Mahali pa kazi Duniani yaliyoadhimishwa April 28-2014 katika viwanja vya mnazi mmoja jijini Dar es salaam. (Picha na OMR)Katibu Mkuu wa Shirikisho la Wafanyakazi Nicolas Mgaya akizungumza kwenye maadhimisho ya siku ya Usalama na Afya Mahali pa kazi Duniani yaliyoadhimishwa April 28-2014 katika viwanja vya mnazi mmoja jijini Dar es salaam.Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkabizi zawadi maalum Naibu Waziri wa Kazi na Ajira Mhe. Makongoro Mahanga wakati wa maaadhimisho ya siku ya Usalama na Afya Mahali pa kazi Duniani yaliyoadhimishwa April 28-2014 katika viwanja vya mnazi mmoja jijini Dar es salaam.Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkabizi zawadi K. Lwakatare mkuu wa usalama na mazingira Vodacom kwenye maadhimisho ya siku ya Usalama na Afya yaliyoadhimishwa April 28-2014 katika viwanja vya mnazi mmoja jijini Dar es salaam.Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia kwenye maadhimisho ya siku ya Usalama na Afya Mahali pa kazi Duniani yaliyoadhimishwa April 28-2014 katika viwanja vya mnazi mmoja jijini Dar es salaam.Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal katikati, akiwa katika picha ya pamoja na viongozi na watumishi wa taasisi mbalimbali kwenye maadhimisho ya siku ya Usalama na Afya yaliyoadhimishwa April 28-2014 katika viwanja vya mnazi mmoja jijini Dar es salaam.Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal akiondoka kwenye viwanja vya mnazi mmoja baada ya kulihutubia taifa wakati wa maadhimisho ya siku ya Usalama na Afya Mahali pa kazi Duniani yaliyoadhimishwa April 28-2014 katika viwanja vya mnazi mmoja jijini Dar es salaam.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment