Twitter Buzz

....

....

...

...

IMETOSHA!

IMETOSHA!

Featured post

KIJANA GOZBERT BWELE ALIVYOMPAGAWISHA MAKAMU WA RAIS WA HISPANIA MJINI NANSIO

Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...

Sunday 13 April 2014

MAKAMU WA RAIS, MKUU WA MKOA DAR, KOVA WANUSURIKA KIFO



Makamu wa Rais, Dr Gharib Bilali, Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam, Said Meck Sadick, Kamanda wa polisi kanda maalumu ya Dar Es Salaam na mwandishi wa habari wa kituo cha TBC, George Kasembe wamenusurik kifo baada ya helikopta waliyokuwa wakisafiria kupata ajali katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwalimu J.K Nyerere wakiwa kwenye ziara ya kukagua athari za mafuriko yaliyotokea baada jijini Dar Es Salaam kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha maeneo mbalimbali hapa nchini.

CHANZO: TASWIRABONGO

No comments:

Post a Comment