Twitter Buzz

....

....

...

...

IMETOSHA!

IMETOSHA!

Featured post

KIJANA GOZBERT BWELE ALIVYOMPAGAWISHA MAKAMU WA RAIS WA HISPANIA MJINI NANSIO

Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...

Thursday 17 April 2014

BABY MADAHA: NITAOLEWA MWAKA 2030

Staa wa muziki na filamu Bongo, Baby Madaha.
STAA wa muziki na filamu Bongo, Baby Madaha amesema hana papara na suala la ndoa kwani amejipanga kutimiza tendo hilo mwaka 2030.
Akizungumza na paparazi wetu, Baby alisema anachoomba ni uzima kwani suala la ndoa analiona halina umuhimu kwa sasa kwani ni kipindi cha yeye kusaka fedha kwa hali na mali.
“Sina haraka bwana, maisha haya yanahitaji kuyatengeneza, najipanga Mungu akipenda labda kwenye 2030 huko ndiyo nitafunga ndoa sasa hivi acha nitengeneze chapaa,” alisema Baby ambaye umri wake unakadiriwa kutopungua miaka 30. 

CHANZO: GLOBAL PUBLISHERS

No comments:

Post a Comment