Twitter Buzz

....

....

...

...

IMETOSHA!

IMETOSHA!

Featured post

KIJANA GOZBERT BWELE ALIVYOMPAGAWISHA MAKAMU WA RAIS WA HISPANIA MJINI NANSIO

Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...

Tuesday 15 April 2014

MANNY PAQUAIO AMTWANGA TIMOTHY BRADLEY

 Bondia Manny Paquaio kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Timothy Bradley wakati wa mpambano wao uliofanyika leo alfajili manny pac alishinda kwa point 
Bondia Timothy Bradley kushoto akipambana na Manny Pacquiao wakati wa mpambano wao wa ubingwa wa WBO welterweight champion uliofanyika alfajili ya leo katika ukumbi wa MGM Grand in Las Vegas, Nevada. USA  Paquaio alishinda kwa pointi katika mchezo uho wa marudiano 
Bondia Manny Paquaio kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Timothy Bradley wakati wa mpambano wao uliofanyika leo alfajili manny pac alishinda kwa point
Bondia Timothy Bradley kushoto akipambana na Manny Pacquiao wakati wa mpambano wao wa ubingwa wa WBO welterweight champion uliofanyika alfajili ya leo katika ukumbi wa MGM Grand in Las Vegas, Nevada. USA  Paquaio alishinda kwa pointi katika mchezo uho wa marudiano.

CHANZO: superdboxingcoach

No comments:

Post a Comment