Twitter Buzz

....

....

...

...

IMETOSHA!

IMETOSHA!

Featured post

KIJANA GOZBERT BWELE ALIVYOMPAGAWISHA MAKAMU WA RAIS WA HISPANIA MJINI NANSIO

Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...

Wednesday 4 June 2014

TAIFA STARS BAADA YA KUITUNGUA ZIMBABWE, SASA YAANZA MAWINDO YA KUWANG`OA MSUMBIJI

1
Na Baraka Mpenja, Dar es salaam
Timu ya taifa ya soka Tanzania Taifa Stars, chini ya kocha Mholanzi, Mart Nooij, inatarajia kuingia kambini Jumatano ijayo kwa ajili ya kujiwinda na mchezo dhidi ya Msumbiji  kuwania kupangwa hatua ya makundi ili kusaka tiketi ya fainali za AFCON zitakazochezwa Morocco hapo mwakani.
Taifa Stars imewasili kutokea Harare ambako ilifanikiwa kufuzu hatua inayofuata  baada ya kuingoa Zimbabwe kwa jumla ya magoli 3 – 2.
Stars ilishinda bao 1-0 katika mchezo wa kwanza jijini Dar es salaam na kufanikiwa kutoka sare ya 2-2 mjini Harare, mwishoni mwa wiki iliyopita.
Kusoma zaidi bofya www.bkmtata.blogspot.com

CHANZO FULL SHANGWE

No comments:

Post a Comment