Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa katika picha ya pamoja na wazee kutoka kata ya Simbo wilayani Uvinza, ofsini kwake mjini Dodoma Juni 28, 2014. Kulia ni Mbunge wa Kigoma Kusini, David kafulila (kulia) na wa sita kushoto ni Mbunge wa kigoma Mjini Peter Serukamba. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Wazee kutoka kata ya Nsimbo katika jimbo la Kigoma Kusini baada ya kuzungumza nao ofisini kwake bungeni mjini Dodoma Juni 28, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na wazee kutoka kijiji cha Kwaraa, Babati wakiwa na Mbunge wao wa Babati Mjini, Kisyeri Chambiri (watatu kushoto) ofisini kwake bungeni mjini Dodoma Juni 28, 2014. (Picha na Ofisiya Waziri Mkuu)
CHANZO FULL
SHANGWE
No comments:
Post a Comment