Twitter Buzz

....

....

...

...

IMETOSHA!

IMETOSHA!

Featured post

KIJANA GOZBERT BWELE ALIVYOMPAGAWISHA MAKAMU WA RAIS WA HISPANIA MJINI NANSIO

Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...

Thursday 26 June 2014

BOSNIA 3 VS 1 IRAN: EDIN DZEKO AWAFUNGA MIDOMO MASHABIKI, APIGA MOJA NA KUAGA MASHINDANO KWA RAHA

Deadlock broken: Edin Dzeko is muted in his celebration after opening the scoring for Bosnia and Herzegovina
 Ngome imevunjwa: Edin Dzeko alikaa kimya baada ya kuifungia bao la kuongoza   Bosnia na Herzegovina.
 
MSHAMBULIAJI wa Manchester City aliye kwenye moto, Edin Dzeko ameaga mashindano ya kombe la dunia vizuri baada ya kuiongoza Bosnia kupata ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Iran.
Dzeko alikosolewa na mashabiki wa Bosnia baada ya kupoteza nafasi nyingi za kufunga kwenye mchezo wa pili dhidi ya Nigeria.
Lakini leo nyota huyo mwenye miaka 28 amefanya kazi na kuhakikisha analisaidia taifa lake lisimalize mechi za kundi lao la E likiwa mkiani, tena bila pointi katika michuano yao ya kwanza ya kombe la dunia.
Precision: The Manchester City striker put his nation in the lead with a sublime left-footed strike
 Mshambuliaji wa Manchester City akifunga bao lake la kuongoza.
Out of reach: Iran goalkeeper Alireza Haghighi is given no chance as Dzeko's shot goes in off the postKipa wa Iran  Alireza Haghighi aliambulia manyoya tu.
Kusoma zaidi takwimu za mchezo huu www.bkmtata.blogspot.com
CHANZO FULL SHANGWE

No comments:

Post a Comment