Twitter Buzz

....

....

...

...

IMETOSHA!

IMETOSHA!

Featured post

KIJANA GOZBERT BWELE ALIVYOMPAGAWISHA MAKAMU WA RAIS WA HISPANIA MJINI NANSIO

Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...

Thursday 26 June 2014

WAZIRI SIMBA AZINDUA MKUTANO KUJADILI UTOKOMEZAJI UKEKETAJI TANZANIA


Waziri wa Maendeleo ya Jamii Jinsia na Watoto, Sophia Simba akizungumza kabla ya kufungua rasmi mkutano wa Kitaifa wa Kujadili Utokomezaji wa Ukeketaji Nchini Tanzania. 
Waziri wa Maendeleo ya Jamii Jinsia na Watoto, Sophia Simba akizungumza kabla ya kufungua rasmi mkutano wa Kitaifa wa Kujadili Utokomezaji wa Ukeketaji Nchini Tanzania.Mkurugenzi Mtendaji wa Chama cha Wanahabari Wanawake Tanzania (TAMWA), Valerie Nsoka akizungumza katika mkutano huo.  
Mkurugenzi Mtendaji wa Chama cha Wanahabari Wanawake Tanzania (TAMWA), Valerie Nsoka akizungumza katika mkutano huo.Katibu Mkuu wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii Jinsia na Watoto, akizungumza katika mkutano wa Kitaifa wa Kujadili Utokomezaji wa Ukeketaji Nchini Tanzania. 
Katibu Mkuu wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii Jinsia na Watoto, akizungumza katika mkutano wa Kitaifa wa Kujadili Utokomezaji wa Ukeketaji Nchini Tanzania. 
Mwakilishi Msaidizi wa UNFPA, Mariam Khan akiwasilisha mada katika mkutano huo.
Mwakilishi Msaidizi wa UNFPA, Mariam Khan akiwasilisha mada katika mkutano huo.Waziri wa Maendeleo ya Jamii Jinsia na Watoto, Sophia Simba (katikati) akiwa meza kuu kabla ya kufungua mkutano wa Kitaifa wa Kujadili Utokomezaji wa Ukeketaji Nchini Tanzania. Waziri wa Maendeleo ya Jamii Jinsia na Watoto, Sophia Simba (katikati) akiwa meza kuu kabla ya kufungua mkutano wa Kitaifa wa Kujadili Utokomezaji wa Ukeketaji Nchini Tanzania.Baadhi ya washiriki wa Mkutano wa Kitaifa wa Kujadili Utokomezaji wa Ukeketaji Nchini unaofanyika Kunduchi Beach Hotel and Resort jijini Dar es Salaam. Baadhi ya washiriki wa Mkutano wa Kitaifa wa Kujadili Utokomezaji wa Ukeketaji Nchini unaofanyika Kunduchi Beach Hotel and Resort jijini Dar es Salaam.Baadhi ya washiriki wa Mkutano wa Kitaifa wa Kujadili Utokomezaji wa Ukeketaji Nchini unaofanyika Kunduchi Beach Hotel and Resort jijini Dar es Salaam. Baadhi ya washiriki wa Mkutano wa Kitaifa wa Kujadili Utokomezaji wa Ukeketaji Nchini unaofanyika Kunduchi Beach Hotel and Resort jijini Dar es Salaam.Baadhi ya washiriki wa Mkutano wa Kitaifa wa Kujadili Utokomezaji wa Ukeketaji Nchini unaofanyika Kunduchi Beach Hotel and Resort jijini Dar es Salaam. Baadhi ya washiriki wa Mkutano wa Kitaifa wa Kujadili Utokomezaji wa Ukeketaji Nchini unaofanyika Kunduchi Beach Hotel and Resort jijini Dar es Salaam.Baadhi ya washiriki wa Mkutano wa Kitaifa wa Kujadili Utokomezaji wa Ukeketaji Nchini unaofanyika Kunduchi Beach Hotel and Resort jijini Dar es Salaam. Baadhi ya washiriki wa Mkutano wa Kitaifa wa Kujadili Utokomezaji wa Ukeketaji Nchini unaofanyika Kunduchi Beach Hotel and Resort jijini Dar es Salaam.Picha ya pamoja kati ya Waziri wa Maendeleo ya Jamii Jinsia na Watoto, Sophia Simba akiwa na wawakilishi wa asasi za kijamii zinazojihusisha na kupambana na ukeketaji maeneo mbalimbali nchini Tanzania. Picha ya pamoja kati ya Waziri wa Maendeleo ya Jamii Jinsia na Watoto, Sophia Simba akiwa na wawakilishi wa asasi za kijamii zinazojihusisha na kupambana na ukeketaji maeneo mbalimbali nchini Tanzania.Picha ya pamoja kati ya Waziri wa Maendeleo ya Jamii Jinsia na Watoto, Sophia Simba akiwa na wajumbe wa mkutano wa Kitaifa wa Kujadili Utokomezaji wa Ukeketaji Nchini Tanzania. Picha ya pamoja kati ya Waziri wa Maendeleo ya Jamii Jinsia na Watoto, Sophia Simba akiwa na wajumbe wa mkutano wa Kitaifa wa Kujadili Utokomezaji wa Ukeketaji Nchini Tanzania.

No comments:

Post a Comment