Twitter Buzz

....

....

...

...

IMETOSHA!

IMETOSHA!

Featured post

KIJANA GOZBERT BWELE ALIVYOMPAGAWISHA MAKAMU WA RAIS WA HISPANIA MJINI NANSIO

Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...

Thursday 26 June 2014

MSHINDI WA ‘CHEMSHA BONGO YA BRAZIL’ AKABIDHIWA CHAKE

Afisa Masoko wa Azam TV, Shah Mrisho (kulia) akimkabidhi zawadi zake Afande Jamila.
Afande Jamila baada ya kukabidhiwa zawadi zake.
Akiwa na tabasamu wakati akihojiwa na wanahabari.
Afisa Masoko wa Global Publishers, wachezashaji wa Bahati Nasibu hiyo, Innocent Mafuru, akiongea na wanahabari baada ya mshindi kukabidhiwa chake.
Afisa Masoko wa Azam TV, Shah Mrisho, akiwaeleza jambo wanahabari (hawapo pichani).
MSHINDI wa Chemsha Bongo ya Brazil inayoendeshwa na gazeti la Championi, Afande Jamila Omari Mkele, leo amekabidhiwa king’amuzi na dishi kutoka Azam TV pamoja na televisheni ya kisasa (flat screen) kutoka kampuni ya Sony baada ya kushinda shindano hilo.
Makabidhiano hayo yamefanyika leo katika ofisi za Global Publishers wachapishaji wa magazeti ya Uwazi, Amani, Risasi,  Ijumaa,  Championi na Ijumaa Wikienda.
PICHA : RICHARD BUKOS / GPL     
CHANZO FULL SHANGWE

No comments:

Post a Comment