Twitter Buzz

....

....

...

...

IMETOSHA!

IMETOSHA!

Featured post

KIJANA GOZBERT BWELE ALIVYOMPAGAWISHA MAKAMU WA RAIS WA HISPANIA MJINI NANSIO

Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...

Thursday 26 June 2014

UGALI NA KISAMVU MTAMU EEE?!

Ugali ni chakula cha asili cha Waafrika, na hasa ukila na mboga za asili pia zilizoungwa kiasili kama kisamvu. Pichani Waziri Kivuli wa Maendeleo ya Kimataifa wa Uingereza, Ivan Lews, ambaye ni Mbunge wa Bury South, akila chakula cha mchana ambacho ni ugali na kisamvu na familia ya Mzee  Haji Ngandali,  wa  Kijiji cha Kiharaka wilayani Bagamoyo Januari 28, 2012 wakati wa ziara yake ya kutembelea na kujifunza maisha ya Kitanzania katika kijiji hicho. Waziri huyo alikuja nchini kwa mwaliko wa Asasi isiyo ya kiserikali ya ActionAid Tanzania kutazama masuala ya  Chakula na Ardhi. Picha kwa hisani ya Mwananchi/Emmanuel Herman.

No comments:

Post a Comment