Twitter Buzz

....

....

...

...

IMETOSHA!

IMETOSHA!

Featured post

KIJANA GOZBERT BWELE ALIVYOMPAGAWISHA MAKAMU WA RAIS WA HISPANIA MJINI NANSIO

Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...

Monday 30 June 2014

DIAMOND PLATNUMZ ALIVYOFANYA MAKAMUZI CALIFORNIA JUMAMOSI HII

aJqvjF-KYDxpWDsgenB91QZQVv1Xb9kbW3GQFYU5ZSo,V2CQffLqZk05FaA1Ch2gAqYBUXqFm-4oK2YQT6zGyjI
Kushoto ni Balozi wa Heshima, Mhe. Ahmed Issa akiwasili ukumbini hapo akiongozana na wanajumuiya wa California.
f1akqHHcQZxSRUvudOhR2YsI0oVeWUzCWH2wxTC1MwM,DcgHne3HleJHs407hQnovbYbzbG02cnGWf5ffBjwdkc
Diamond Platnumz mwanamuziki wa bongo fleva asieshikika sasa hivi ambaye ni maarufu zaidi kwenye wimbo wake wa my number one aliyemshirikisha mwanamuziki mwingine wa Nigeria anayefanya vizuri sasa hivi Davido akifanya show kali jijini Los Angeles, California siku ya Jumamosi June 28, 2014 ikiwa pia akijiandaa kwenye BET award’14 inayofanyika leo jijini humo wimbo wake wa my number one aliyeshirikiana na Davido umekuwa nominated kwenye katagoli ya international collaboration. Mgeni wa heshima alikua Mhe. Ahmed Issa ambaye ni Balozi wa Heshima wa Tanzania California.
fpcWOzILNgoOP8Zqopg6baVqsYlJ41tHGQcTH9FgB5M,dt_Y2jVgZtLxVLdi36b6TgiNX4kzoeLwl7iLy1fewXc
Mashabiki wa Diamond wakipagawa kwenye showa ya Diamond Platinumz iliyofanyika Los Angeles, California nchini Marekani.
0cUMj4XtJoGKSWeqMy-JKEHzbDY9V7fUPNg_uBELO04,hI9hfok5CSJkavQjaE5r5Eid7que1jrp_OqvqVsvnNg
Diamond Platinumza rais wa Wasafi akifanya vitu vyake.
0R-4Ic7OjmY5QHegi6iPYhn4jATBHr9Sn_qyxZFZ6zw,Tx6iwbGwXRdDlaRcch6W0UVG9eO8nvLQnNmUWyUb2BE
Diamond Platinumz akiwachengua mashabiki waliohudhuria show yake ya California.
2vIuVORZje8Nd0DT6U6eHJHxFSZr7pUhXM96vyiqJ9M,2G4WNMawr8OpS_OSo9ffu_KpCr4oLnS_Dm9U58ldHt8
Diamond Platinumz akishambulia jukwaa na kuwapagawisha mashabiki wake wa California nchini Marekani.
3h7-jSMKSWx6O_lIGB2qijXov3bNLp7iSNdDE2kkUVU,rR47u9KRJkbSNWUye9rkoGYFy8Sx9hUfzTNBwMRAfak
Diamond Platinumz akishambulia jukwaa.
eiZFmc5NQT8C_JJ5Vu5wgdUIXEuyPxNbLD-il92fphI,bVlHMG52uQKVihhO-KnWRfCwjjgAJhdVFA5yk40_y-8
Mashabiki wakipagawa kwa show ya kukata na shoka toka kwa rais wa wasafi Diamond Platnumz. Picha na Abdul Majid mwakilishi wa Vijimambo Los Angeles California picha zaidi bofya hapa

CHANZO MO BLOG

No comments:

Post a Comment