Twitter Buzz

....

....

...

...

IMETOSHA!

IMETOSHA!

Featured post

KIJANA GOZBERT BWELE ALIVYOMPAGAWISHA MAKAMU WA RAIS WA HISPANIA MJINI NANSIO

Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...

Friday 27 June 2014

MAKAMU WA RAIS CHINA AMALIZA ZIARA YAKE ZANZIBAR


01Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo na maliasili Zanzibar Affan O. Maalim akimkaribisha Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya watu wa China Li Yuanchao katika shamba la Serikali la Viungo Kizimbani Wilaya ya magharibi Unguja.05Makamu wa Rais wa China Li Yuanchao akinywa maji ya davu.06 Gari lililomchukua Makamu wa Rais wa China Li Yuanchao likiwasili  Ngome Kongwe kutokea Kizimbani.07 Muongoza wageni wa Kanisa la Mkunazini Benjamin Jackson akimunyesha Makamu wa Rais wa China Li Yuanchao sheni walizokuwa wakifungia watumwa na chomba walichokuwa wakiwekwa katika Kanisa la Mkunazini Mjini Zanzibar.08Makamu wa Rais wa China Li Yuanchao na mwenyeji wake Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi akiaga katika Uwanja wa ndege wa Zanzibar.09Makamu wa Rais wa China Li Yuanchao akiagana na viongozi wa Serikali ya Zanzibar mara baada ya ziara yake ya siku mbili.10Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi akiagana na mgeni wake Makamu wa Rais wa China Li Yuanchao.

CHANZO FULL SHANGWE

No comments:

Post a Comment