Mrembo Neema Chande aliyeshiriki mashindano ya urembo mwaka 2007, ambaye anadaiwa kuwa miongoni mwa mabinti wa Kitanzania wanaojiuza/kuuzwa kwa ngono nchini India.
Hii ni biashara ya ngono! Ni utumwa wa ngono na kuudhalilisha utu wa mwanamke na Mtanzania kwa ujumla. Hebu soma hapa uone taarifa hii ya kusikitisha iliyotundikwa kwenye jukwaa maarufu la Jamii Forums na msomaji mmoja:
"Niliwahi kupost hapa JF habari za mabinti wanaosafirishwa kutoka
Tanzania kupelekwa Delhi kwa ajili ya kufanya biashara ya uchangudoa
kwenye mahoteli na makasino huku wakipost picha zikionesha baadhi ya
saterehe wanazofanya huko.
Kinara wa kusafirisha mabinti hao anaitwa Shumileta na Serikali na
viongozi wote mpaka balozi inamjua mtu huyu lakini hakuna hatua yoyote
iliyochukuliwa ama inayotaka kuchukuliwa kuhusiana na hii issue. Hapa
inaonesha dhahiri kabisa kuna viongozi wa ngazi za juu serikalini
wakihusika na hii issue.
Leo ntaweka baadhi ya picha za mabinti hao wanaojiuza na profile zao wanazotumia katika mitandao ya kijamii.
Baadhi yao ni wanafunzi na wengine huondoka kwa kisingizio cha kwenda
kusoma na wakifika huko wanafanya biashara hiyo,na wengine huondoka kwa
nia ya kwenda kutafuta maisha.
Nchi nyingine ambazo ziko kwenye chart kwa human traffick from Tanzania ni Malysia na China
KUNA AMBAO PASS ZAO ZIMESHIKILIWA MPAKA WAMALIZWE KULIPA DENI LA BOSS LA
NAULI ILIYOMPELEKA INDIA NA WENGINE PASS ZIME EXIPIRE HUISHI KWA UJANJA
UJANJA.
KWA WANAOMALIZA KULIPA DENI HUA FREE KUOLEWA AMA KTAFUTA MEANS ZA KUISHI HUKO AMBAPO WENGI HUOLEWA NA WAZUNGU NA WAKONGO.
PIA WAPO AMBAO WAMEACHA WATOTO WAO HUKU TANZANIA NA KUKIMBILIA HUKO ILI KUTAFUTA PESA KWA NJIA HIYO.
KAMA SERIKALI HAITACHUKUA HATUA JUU YA SWALA HILI LITAKUJA KUA JANGA KAMA MADAWA YA KULEVYA NA KULETA AIBU KWA NCHI.
PIA WAZAZI FANYENI FOLLOW UP YA WATOTO WENU WANAFANYA SHUGHULI GHANI
HUKO? SIO UNAONA RAHA KUPOKEA PESA USIZOJUA MWANAO KAZIPATA VIPI KUMBE
WANALAZIMIKA MPAKA KULA AMA KULAMBA VITU VYA AJABU.
SOURCES NI MIMI MWENYEWE NA BAADHI YA MADEMU NILIWANUNUA DELHI"
No comments:
Post a Comment