Twitter Buzz

....

....

...

...

IMETOSHA!

IMETOSHA!

Featured post

KIJANA GOZBERT BWELE ALIVYOMPAGAWISHA MAKAMU WA RAIS WA HISPANIA MJINI NANSIO

Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...

Friday 27 June 2014

MWANAMKE ALIYEASI DINI AACHILIWA TENA

Mwanamke wa Sudan aliyehukumiwa kifo kwa madai ya kuasi dini ya kiislam ameachiliwa huru baada ya kushikiliwa kwa mara ya pili.
Meriam Ibrahimu alikwenda katika ubalozi wa Marekani uliyopo mji Mkuu wa Khartoum.
Mwanamke huyo aliachiliwa baada ya kuhukumiwa adhabu ya kifo siku ya jumatatu lakini alishikiliwa tena na polisi kwa tuhuma za kughudhi hati za kusafiria ili aondoke nchini Sudan kwenda Marekani.Mumewe ana asili ya Sudan Kusini lakini kwa sasa ni raia wa Marekani.
Kufuatia kuachiliwa huru kwa mara nyingine, Mke huyo wa Ibrahim ameiambia BBC kwamba ataendelea kuwa Mkristo.

Kesi yake ya kuasi dini imevuta hisia za watu wengi wakiwemo watetezi wa haki za binadamu pamoja na nchi za Magharibi.
BBC

No comments:

Post a Comment