Twitter Buzz

....

....

...

...

IMETOSHA!

IMETOSHA!

Featured post

KIJANA GOZBERT BWELE ALIVYOMPAGAWISHA MAKAMU WA RAIS WA HISPANIA MJINI NANSIO

Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...

Saturday 28 June 2014

LEO KUMBUKUMBU YA MIAKA 100 BAADA YA VITA KUU YA KWANZA YA DUNIA

Prince Franz Ferdinand na mkewe
Shughuli zinafanywa leo kukumbuka tukio la karne kamili iliyopita mjini Sarajevo, ambapo mrithi wa mfalme wa mamlaka ya Austria-Hungary aliuliwa na mzalendo wa Serbia na kuwa chanzo cha kuzuka Vita vya Kwanza vya Dunia.
Vilembwe vya prince huyo, Franz Ferdinand, watahudhuria gwaride litalofanywa katika kasri yao karibu na Vienna, Austria.
"Baba wa babu yangu angeshtushwa, angeshtuka kabisa, kwa sababu akijua upungufu wa jeshi lake, kwa sababu alikuwa mkuu wa jeshi.Princess Anita Hohenberg, kilembwe cha Franz Ferdinand, aliiambia BBC kwamba Franz Ferdinand daima hakupenda vita:
Vita hivo vilikuwa vibaya, vibaya sana."
Austria sasa haina mfalme.

No comments:

Post a Comment