Twitter Buzz

....

....

...

...

IMETOSHA!

IMETOSHA!

Featured post

KIJANA GOZBERT BWELE ALIVYOMPAGAWISHA MAKAMU WA RAIS WA HISPANIA MJINI NANSIO

Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...

Thursday 10 April 2014

KATUNI HII KIBOKO! NI DHIHAKA AU...?

 Kikaragosi kinacholalamikiwa kumdhihaki Rais Jakaya Kikwete baada ya yale yaliyotokea katika hotuba yake Bungeni Dodoma iliyotanguliwa na ile ya Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba.
 Bado hatujui kama yai letu litatotoa bata, kuku, tausi, chiriku au bundi. Kila ndege ana majira yake ya kutaga na kuatamia, lakini kwa hapa tusubiri na tuone itakavyokuwa huko Dodoma.
 Walipotoa hotuba zao wakaacha maswali mengi. Hatujasikia mjadala zaidi Bungeni ukiachilia mbali mikiki ya Ukawa na wenzao wanaotaka sirikali mbili, lakini kumekuwepo na bunge lisilo rasmi uraiani kila mmoja akisema lake. Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba ndio watakaotengua kitendawili hiki.


No comments:

Post a Comment