Twitter Buzz

....

....

...

...

IMETOSHA!

IMETOSHA!

Featured post

KIJANA GOZBERT BWELE ALIVYOMPAGAWISHA MAKAMU WA RAIS WA HISPANIA MJINI NANSIO

Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...

Sunday 20 October 2013

RAIS KIKWETE ASIMIKWA UCHIFU WA KABILA LA WABENA MKOANI NJOMBE

Wazee wa Kabila la Wabena wakimsimika Uchifu Rais Jakaya Kikwete.

Rais Jakaya Kikwete akipokea Mkuki wakati akisimikwa Uchifu wa Kabila la Wabena na mmoja wa wawakilishi wa Wazee wa Kabila hilo,kwenye wa Hafla ya Uzinduzi wa Mkoa wa Mpya wa Njombe.
 Rais Jakaya Kikwete akipokea Mkuki wakati akisimikwa Uchifu wa Kabila la Wabena na mmoja wa wawakilishi wa Wazee wa Kabila hilo,kwenye wa Hafla ya Uzinduzi wa Mkoa wa Mpya wa Njombe.

Chifu Mpya wa Kabila la Wabena,Rais Jakaya Kikwete akiwahutubia wakazi wa Mkoa Mpya wa Njombe.

Chifu Mpya wa Kabila la Wabena,Rais Jakaya Kikwete akiteremka Jukwaani baada ya kusimikwa Uchifu wa Kabila hilo na kuwahutubia wananchi wa Mkoa wa Njombe.
Machifu wa Kabila la Wabena wakiwa kwenye picha ya Pamoja.
Pongezi zikiendelea.
Rais Jakaya Kikwete akipongezwa na mkewe Mama Salma Kikwete baada ya kusimikwa Uchifu wa Kabila la Wabena,wakati wa Hafla ya Uzinduzi wa Mkoa Mpya wa Njombe. (PICHA ZOTE NA IKULU).

No comments:

Post a Comment