Twitter Buzz

....

....

...

...

IMETOSHA!

IMETOSHA!

Featured post

KIJANA GOZBERT BWELE ALIVYOMPAGAWISHA MAKAMU WA RAIS WA HISPANIA MJINI NANSIO

Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...

Sunday 27 October 2013

RAIS KIKWETE AAGANA NA BALOZI WA PAKISTAN ALIYEMALIZA MUDA WAKE


Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na Balozi wa Pakistan nchini Mhe Tajammul Altac aliyefika Ikulu jijini Dar es Salaam Oktoba 26, 2013 kumuaga baada ya kumaliza muda wake wa kufanya kazi.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na Balozi wa  Pakistan nchini Mhe Tajammul Altac aliyefika Ikulu jijini Dar es Salaam Oktoba 26, 2013 kumuaga baada ya kumaliza muda wake wa kufanya kazi. PICHA NA IKULU

No comments:

Post a Comment