Twitter Buzz

....

....

...

...

IMETOSHA!

IMETOSHA!

Featured post

KIJANA GOZBERT BWELE ALIVYOMPAGAWISHA MAKAMU WA RAIS WA HISPANIA MJINI NANSIO

Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...

Tuesday 17 December 2013

TAMASHA LA UJASIRIAMALI MWANZA, ELIMU, BURUDANI MWANZO MWISHO

Mwanamuziki Fid Q akizikonga nyoyo za mashabiki wa Mwanza waliohudhuria tamasha la ujasiriamali jana.

Mheshimiwa Sugu akitoa burudani kwa wakazi wa Mwanza ndani ya CCM Kirumba.
Young Killer akiingia kwa mbwembwe uwanjani.

Tamasha kubwa la Ujasiriamali lililofikia tamati jana jioni katika Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza lilitawaliwa na elimu pamoja na burudani kali kutoka kwa wasanii Fid Q, H-Baba, Young Killer na Jitta Man. Kwa upande wa injili, burudani hizo ziliongozwa na Martha Mwaipaja na Emmanuel Mgaya 'Masanja Mkandamizaji. Walimu wa ujasiriamali nchini, Eric Shigongo na James Mwang'amba wakiwa sambamba na Mbunge wa Mbeya Mjini (Chadema), Mhe. Joseph Mbilinyi 'Sugu' walitoa elimu ya ujasiriamali kwa wakazi wa Mwanza na kuwaacha wakiwa wameiva kwenye masuala hayo.(PICHA: CHANDE ABALLAH NA DENIS MTIMA / GPL, MWANZA)

No comments:

Post a Comment