Twitter Buzz

....

....

...

...

IMETOSHA!

IMETOSHA!

Featured post

KIJANA GOZBERT BWELE ALIVYOMPAGAWISHA MAKAMU WA RAIS WA HISPANIA MJINI NANSIO

Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...

Tuesday 31 December 2013

TAARIFA YA MWELEKEO WA HALI YA HEWA KWA MWEZI JANUARI NA FEBRUARI 2014


JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA 
WIZARA YA UCHUKUZI 
MAMLAKA YA HALI YA HEWA 

Simu: 255 22 2460706/7/8 
Telefax: 255 22 2460735, 2460700 S.L.P. 3056, 
Tovuti: www.meteo.go.tz 
Barua pepe: met@meteo.go.tz DAR ES SALAAM. 

Tafadhali jibu: 30 Desemba 2013 
Kumb. No. TMA/4060/6/7 

 TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI 

YAH: TAARIFA YA MWELEKEO WA HALI YA HEWA KWA MWEZI JANUARI NA FEBRUARI 2014  

Tafadhali husika na somo tajwa hapo juu. 
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania atatoa taarifa ya mwelekeo wa hali ya hewa kwa mwezi Januari na Februari 2014. Taarifa hiyo itatolewa kwa vyombo vya habari Jumanne tarehe 31 Desemba 2013, saa 5 (tano) asubuhi, katika ofisi za Makao Makuu ya Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania zilizopo kwenye jengo la Ubungo Plaza, Barabara ya Morogoro, kwenye ukumbi wa mikutano, ghorofa ya tatu. 

Tafadhali usikose kuhudhuria ukiwa kama mdau mkubwa wa hali ya hewa nchini. 

IMETOLEWA NA MAMLAKA YA HALI YA HEWA NCHINI

No comments:

Post a Comment