Twitter Buzz

....

....

...

...

IMETOSHA!

IMETOSHA!

Featured post

KIJANA GOZBERT BWELE ALIVYOMPAGAWISHA MAKAMU WA RAIS WA HISPANIA MJINI NANSIO

Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...

Sunday 15 December 2013

TAMASHA KUBWA LA UJASIRIAMALI LAZIDI KURINDIMA NDANI YA CCM KIRUMBA, MWANZA

Mkurugenzi wa Kampuni ya Global Publishers Ltd na Mwalimu wa Ujasiriamali nchini, Eric James Shigongo akiwasalimia wakazi wa Mwanza leo.

Eric Shigongo akimkaribisha mkufunzi wa masuala ya ujasiriamali, James Mwang'amba aongee na wakazi wa Mwanza leo.
James Mwang'amba akitoa elimu ya ujasiriamali kwa wananchi wa Mwanza.
Masanja Mkandamizaji akiwavunja mbavu wakazi wa Mwanza kwa historia ya kusisimua ya maisha yake.
Umati wa watu uliohudhuria Tamasha kubwa la Ujasiriamali linalofikia kikomo leo ndani ya Uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza.

Wakazi wa jiji la Mwanza wamezidi kujipatia elimu ya ujasiriamali, vitabu na CD za Eric Shigongo na James Mwang'amba katika Tamasha kubwa la Ujasiriamali linalofikia kikomo leo jijini Mwanza. Tamasha hilo lilianza juzi (Ijumaa) ambapo walimu wa ujasiriamali Shigongo na Mwang'amba wametoa mbinu kwa watu wa Mwanza jinsi ya kuwa wajasiariamali mahiri. (PICHA: CHANDE ABDALLAH NA DENIS MTIMA / GPL, MWANZA)

No comments:

Post a Comment